Fyengeresya
JF-Expert Member
- Oct 10, 2011
- 751
- 349
Wewe kama nani na kwa sheria ipi?ni raia ila wamekosa busara, uvumilivu na wanaleta ujuaji
mimi ningewaweka miezi miwili zaidi
waendelee kuongea
Wewe kama nani na kwa sheria ipi?ni raia ila wamekosa busara, uvumilivu na wanaleta ujuaji
mimi ningewaweka miezi miwili zaidi
waendelee kuongea
Viongozi huheshimiwa lakini watawala huogopwa. ukiwa mtawala unakuwa kama Simba au paka siku ukiotewa hutakiwi kulalamika kwa kuwa wewe katika utawala wako hukuwa na busara, subra, utawala wa sheria, hekima etc.Sawa sawa walivyotiwa jela hata ktk ukoo kuna kiongozi wa ukoo,na ndo haya ktk serikali kuna viongozi lzm tuwe na nidhamu kwao kwa kuwa hakuna unachopungukiwa ukitii,sasa kuleta kiburi kujifanya ujuaji kisa una kiwanda cha mikate kuleta tambo nawe uonekane unaivimbia mamlaka matokeo yake ndo hayo,wangeweka japo wiki 2 watie adabu.
Mmoja nasikia/inasemekana (ushahidi sina zaidi ya nilichosoma hapa jukwaani) ana uraia wa nchi nyingine, na Katiba yetu hairuhusu hilo!Manji, Gwajima ni raia wa nchi hii, kama kwa dhati tunaheshimu katiba, hatupaswi kuwaonea!
Ilikuwa ni rahisi tu, kuwaambia leo hatutawasikiliza njooni kesho basi na mambo yakesha, sasa kuwatunishia misuli yafaa nini?
dunia ishakuwa na wababe kina Nebukadneza, Farao, Hiter, Saddam, Ghadafi, Leo wako wapi?
Bahati watanzani wengi wa mkuu wao wanafanana akili wapo wanawaza ipo siku manji atafilisika wao wawe matajiri kama mkuu anavyo aminiNdoto za maskini wa tanzania akisubiria tajiri aishi kama shetani halafu yeye maskini aishi kama malaika!!
Nadhani alichokiongea mala ya kwanza ulikisikia hakuwa na sababu ya tambo zile na asingepungukiwa kitu kwa lile,lkn ukitaka kuiletea serikali ustaa utavuna ulichokipanda,na ndo haya tunayoyaona Leo baadhi ya wanasiasa wanaongea lugha za makusudi ili wawaudhi watu na linajulikana utasikia Magufuli inajulikana wanamaanisha nini au tumepata Rais wa ajabuajabu ni lugha chafu kumtolea kiongozi wa nchi wa chini yake wakikuangukia unaanza kutaka huruma ya wananchi na malalamiko kibao serikali hii ya kidikteta kumbe ulikuwa unaweza kufikisha kero yako kwa lugha nzuri na ukaeleweka bila kuudhi wengine,kwetu wananchi kwa itikadi zetu ukiona mtu anadindia serikali ndio tunamjaza ujinga na kumuona anaonewa,ufike muda tubadilike.Viongozi huheshimiwa lakini watawala huogopwa. ukiwa mtawala unakuwa kama Simba au paka siku ukiotewa hutakiwi kulalamika kwa kuwa wewe katika utawala wako hukuwa na busara, subra, utawala wa sheria, hekima etc.
Hiyo haikua kauli ya Manji mkuu, hiyo kauli ilitoka kwa kiongozi wa Simba kwenda kwa Magufuli walipokua na mvutano kuhusu malori kupita barabarani.nainukuu " siongei na Mbwa bali naongea na mwenye Mbwa? " Naomba niishie hapa tafadhali.
Hiyo haikua kauli ya Manji mkuu, hiyo kauli ilitoka kwa kiongozi wa Simba kwenda kwa Magufuli walipokua na mvutano kuhusu malori kupita barabarani.
Mbona hapelekwi mahakamani kama kweli ana makosa? Sheria inasemaje hapo mkuu??Leo huyu mwenyeketi wetu wa kilabu ya kimataifa kilabu yenye wachezaji nguri na hodari kama msuva yanga sport klub anafikisha siku ya tano lupango akinyea ndoo hii inasikitisha sana kwakweli
Jamaa huyu mwenye mbwembwe za hatari kwanza siku tu ya kwanza anatajwa kwenye ile karatasi ya dogo aliyoitoa mfukon jion yake aliitisha wandishi wa habari na kutoa lugha ya matusi ile mbaya hakuishia hapo kesho yake aliibuka kituo cha polis kwa mbwembwe zile zile akiwa na mawakili nane na gari moja kali kinoma nyeus
Huyu jamaa jion yake alipandishwa gari moja nyeus akapelekwa kuzungushwa mjin inasemekana alipelekwa kupimwa kwa mkemia mkuu alikutwa ni mtumiaji mkubwa sana wa madawa.
Vyanzo vyako vya "habali"! Kuandika kiswahili huwezi halafu unategemea watu kukuamini? Kweli Lumumba mnafundishwa ujinga. "Natamani ningekuwa IGP", yaani vilaza wote kama wewe ningewafunga.Kutoka kwenye vyanzo vyangu vya habali
An old man wanted clarification because your tone seemed like you have seen red.Whats your point old man? I gave hime a piece of advice. Its for him to take it or leave it.
"Habali" ndio nini?Kutoka kwenye vyanzo vyangu vya habali
Leo huyu mwenyeketi wetu wa kilabu ya kimataifa kilabu yenye wachezaji nguri na hodari kama msuva yanga sport klub anafikisha siku ya tano lupango akinyea ndoo hii inasikitisha sana kwakweli
Jamaa huyu mwenye mbwembwe za hatari kwanza siku tu ya kwanza anatajwa kwenye ile karatasi ya dogo aliyoitoa mfukon jion yake aliitisha wandishi wa habari na kutoa lugha ya matusi ile mbaya hakuishia hapo kesho yake aliibuka kituo cha polis kwa mbwembwe zile zile akiwa na mawakili nane na gari moja kali kinoma nyeus
Huyu jamaa jion yake alipandishwa gari moja nyeus akapelekwa kuzungushwa mjin inasemekana alipelekwa kupimwa kwa mkemia mkuu alikutwa ni mtumiaji mkubwa sana wa madawa.