Jigsaw
JF-Expert Member
- Jun 17, 2011
- 1,823
- 684
Makubwa kiasi gani? Au size ya Konda mwenzio. Kuwekwa kizuizini ni mbona jambo dogo tu. Wamekaa wana siasa wakina Yona jela zaidi ya mwaka sembuse Manji siku 3 sero. Tuongee vitu vyenye mantiki. Manji Manji manji.[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Huu mchezo hauhitaji hasira
OK nimeota matiti sio vimatiti.
Manji kaponzwa na kauli zake hakuna kingine.
Wewe kama una mahaba nae nenda kamuombe atoe posa kwenu