Had SEX with a stranger!!! Please help, Have I cheated?!

Lizzy, njoo mara moja kumulika huyu mwizi. :spy:
 
Last edited by a moderator:
Mbona tunaota tunakula, tunakunywa, tunafanya kazi, tuna cheza?
they are all normal human functions that we perform while awake
Kwa nini mtu mzima akiota anafanya mapenzi inakua ni jini mahaba?
Huoni kama ni mbinu tu ya wazee kutukataza kuendekeza hizo ndoto?

no i kweli kabisa na labda ni kwakua hayajakupata but yakikukuta utajionea mwenyewe. hata mandoto yakua kula siyo mazuri hizi huwa na maana yake. soma vitabu vya ndoto utajionea
 
aawww NN you are tempting me. Can you use the dance floor inavotakiwa? Plz say no!

Erotica , unamjua Ronnie Coleman?
would you like to have him?
Sorry darling, he is taken... :nono:
 
no i kweli kabisa na labda ni kwakua hayajakupata but yakikukuta utajionea mwenyewe. hata mandoto yakua kula siyo mazuri hizi huwa na maana yake. soma vitabu vya ndoto utajionea
Nadhani mambo yanaharibika pale unapo anza kuipa ndoto too much importance
I really can't see how a wet dream here and there inaweza kua ni possession,
wewe hujawahi ota ndoto kama hizo? would you say you were possessed?
 
Erotica , unamjua Ronnie Coleman?
would you like to have him?
Sorry darling, he is taken... :nono:

teh teh teh. Gal u gat to learn the rules. Only the word

of Coleman would matter in this case, how am i to know if you are not lying?
 
teh teh teh. Gal u gat to learn the rules. Only the word

of Coleman would matter in this case
, how am i to know if you are not lying?
True that, ngoja nijirudilie chit chat mimi...
 
Heh, kuonja karanga kwa jirani napo umecheat?

Mwaya kama alivyosema Mwali tu, hukutakiwa kuji-kokroch dethi na stranger ndotoni. Hujachiti wala kuchitiwa, umejionjea tu.

teh teh teh. sante Kongosho. Vipi unaonaje hapo, sawa na kucheat?
 
Last edited by a moderator:
Heh, kuonja karanga kwa jirani napo umecheat?

Mwaya kama alivyosema Mwali tu, hukutakiwa kuji-kokroch dethi na stranger ndotoni. Hujachiti wala kuchitiwa, umejionjea tu.

much much beta sasa. sante Kongosho.
 
Back
Top Bottom