Had SEX with a stranger!!! Please help, Have I cheated?!

Umefanya mapenzi na jini wala sio ndoto watu wengi huwakuta tena ukijiangalia sehemu za siri utakuta mchuzi wa mapenzi umebaki.
 
hii ndoto inaweza ukakuta kuana majini mahaba yanakufuatilia jaribu sana kuomba kabla hujalala maana ni wengi hatujui kuwa mwovu shetani ana nguvu nyingi sana anaweza kujitokeza kwa njia kama hizi
 
mzinzi atabaki kuwa mzinzi wala si vinginevyo. pia kama ilikuwa ni ndoto basi ujue unanyemelewa na pepo mahaba na usipomkemea utakuwa mwanzo wa mafarakano ma kutengana

fungeni ndoa acheni uasherati kwani mwishowe mtaangamia
 
Back
Top Bottom