Had SEX with a stranger!!! Please help, Have I cheated?! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Had SEX with a stranger!!! Please help, Have I cheated?!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Erotica, May 7, 2012.

 1. Erotica

  Erotica JF-Expert Member

  #1
  May 7, 2012
  Joined: Apr 24, 2012
  Messages: 2,514
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Naona hii week hii ni yangu!! Baada ya kupita majaribu na boyfie mambo yamenigeukia tena.
  Kwanza inabidi mjue kua alikua hayupo kasafiri karibu miezi miwili na tukajeruhiwa kabla
  ya kuridhisha nafsi ma miili yetu. Alipokuja ndio hapo alipokuja
  na style ya kuumiza viungo na kutufanya hamu yote iishe. Jana nimejisikia Uchovu mwili mzima
  nikapumzika kwenye sofa sebuleni huyoo nikapitiwa na usingizi. Nilipoamka ghafla nikanyanyuka
  huyo hadi chumbani, nikavua nguo , nikaenda kuoga na kuamua nitoke Out yap eke yangu kwa
  nikapate mbili tatu kwa ajili ya kupoteza mawazo na maumivu tokana na style bubu.

  Mungu si Juma wala si Athumani baada ya kunywa akajitokeza kaka na kusogea karibu yangu pale
  kuomba aninunulie kinywaji, nikamwambia nimetosheka kama anaweza twende on the dance floor tucheze
  muziki. Aka Smile na kukubali, aliposmile ndio nikaona wazi kua he is cute in a mannish way.
  Baada ya mazungumzo ya dakika moja kanichekesha vya kutosha hao tukaenda kucheza. Sikumbuki kitu.

  Naomba msinijaji, kitu pekee nakumbuka ni kua wakati tunacheza niligundua ana strong arms. I like that.
  Lililofuata hapo ni kua najishtukia tupo nae kitandani tupo Kokrochi death na ndio kwanza nimepandisha mlima na
  cumming like neva b4. Mwili wote hauna nguvu, I feel like a baby na mwepesiiiii. Mara mlango unafunguliwa kwa Nguvu!
  Boyfie kaingia na kutukuta hivo ndio kwanza hata kuachiana bado.. Nampenda sana, najishangaa
  imekuaje nimemsaliti??!! Roho inanilipuka!! Nakurupuka kama vile nimetoka usingizini! Roho inaenda mbio!!

  Kuangalia vizuri na pale pembeni nakuta boyfie bado kalala hana habari nan i usiku wa manane.
  Kumbe nilikua naota labda tokana na genye nyingi nilizo nazo. Lakini najisikia kabisaaa kama vile nimetoka
  kufanya na nimeamka lakini bado najisikia mwepesi na nimeshiba. I touch myself naona kama vile nimetoka
  kufanya hakuna ubishi. I look at my boyfie, I feel guity.

  I feel guilty sababu kwa kweli yule stranger wa usingizini was good, nilitamani ndoto isiishe iwe milele.
  Nisaidieni jamani hio sawa na Kucheat?


  No mwaaaah, am confused. :decision:
   
 2. S

  Sikwepeshi Senior Member

  #2
  May 7, 2012
  Joined: Jan 26, 2012
  Messages: 162
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ur not criaz wewe.nenda ukaombewe
   
 3. TaiJike

  TaiJike JF-Expert Member

  #3
  May 7, 2012
  Joined: Dec 14, 2011
  Messages: 1,475
  Likes Received: 174
  Trophy Points: 160
  Erotica nilidhani kweli kumbe ni ndoto tu lol...
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 4. Erotica

  Erotica JF-Expert Member

  #4
  May 7, 2012
  Joined: Apr 24, 2012
  Messages: 2,514
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Sikwepeshi nisaidie. Nauliza hio sawa na kucheat?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 5. charminglady

  charminglady JF-Expert Member

  #5
  May 7, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 17,856
  Likes Received: 1,131
  Trophy Points: 280
  Ple hilo lilikuwa jini mahaba kaombewe upesiiiiiiiiiiiiiii
   
 6. Erotica

  Erotica JF-Expert Member

  #6
  May 7, 2012
  Joined: Apr 24, 2012
  Messages: 2,514
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  TaiJike ushauri plz.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 7. King2

  King2 JF-Expert Member

  #7
  May 7, 2012
  Joined: Nov 16, 2011
  Messages: 1,289
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Ulipigwa Bao ngapi.
   
 8. Erotica

  Erotica JF-Expert Member

  #8
  May 7, 2012
  Joined: Apr 24, 2012
  Messages: 2,514
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0

  Hivi kwanini mnapenda kujifanya watakatifu? Hujawahi ota unafanya wewe??
   
 9. Erotica

  Erotica JF-Expert Member

  #9
  May 7, 2012
  Joined: Apr 24, 2012
  Messages: 2,514
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0


  Kweli hii week yangu, hamna ushauri ila maswali zaidi?
   
 10. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #10
  May 7, 2012
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,126
  Likes Received: 1,705
  Trophy Points: 280
  We dream what we leave!!!
   
 11. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #11
  May 7, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Mimi nimesoma kichwa cha habari tu. . .nwy ukitembea na stranger unakua hujacheat. . .mtu wa karibu ndio noma.
   
 12. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #12
  May 7, 2012
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  I'm going to change my name to Stranger.
   
 13. Erotica

  Erotica JF-Expert Member

  #13
  May 7, 2012
  Joined: Apr 24, 2012
  Messages: 2,514
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Genecius Kaiza how can you dream what you leave?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 14. Erotica

  Erotica JF-Expert Member

  #14
  May 7, 2012
  Joined: Apr 24, 2012
  Messages: 2,514
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0

  Sante Lizzy i fee a bit beta.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 15. Roulette

  Roulette JF-Expert Member

  #15
  May 7, 2012
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 5,618
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Erotica, it was just a dream. You had no control over it. Ingekua ni mtu unae mjua tungejaribu kuona if your affinities with the concerned could have influended your dream. Ila kwa vile hata stranger mwenyewe humjui I think there is nothing to worry about.
  Nitakushahuri tu usimwambie boyfriend wako about your dream (kama sio muelewa). Given that you can't have sex for a while he could feel a bit insecured about it.

  Here is a song from Congolese artist Lokua Kanza, he had a dream too, hakujua ni ndoto hadi alipo amka. very nice song... afrodenzi, you will love this, I am sure
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 16. S

  Sikwepeshi Senior Member

  #16
  May 7, 2012
  Joined: Jan 26, 2012
  Messages: 162
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ndo maana nimebaki nawanda,haiwezi kuwa sawa na kucheat,ila huenda sina uhakika kuna jinamizi lilikujia ndotoni na likakufanya ukweli ndo maana nikakutel nenda sehemu za kiimani,kama church,manyaunyau...chagua wewe ila mungu zaid
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 17. Erotica

  Erotica JF-Expert Member

  #17
  May 7, 2012
  Joined: Apr 24, 2012
  Messages: 2,514
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0

  Come to think of it yule kaka kafanana na hako katoto,

  isije ikawa ilikua ni older version ya hako ka cute kid. :wink2:
   
 18. mtotowamjini

  mtotowamjini JF-Expert Member

  #18
  May 7, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 4,540
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  ndoto za namna hiyo zinatokeaga alafu ukiamka you wonder hivi yule mtu niliyemuota kweli yupo?? naweza siku nikakutana nae barabarani...but what a fantasy having sex with a stranger and not just sex but good sex mpaka unaamka unakuta kitanda umeshakichafua...dayuummm!!!:A S tongue:
   
 19. S

  Sikwepeshi Senior Member

  #19
  May 7, 2012
  Joined: Jan 26, 2012
  Messages: 162
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ooooh jamani Nyani Ngabu,usichange jina bhana tutakumic unajua.kwikwikwikwi
   
 20. Mwali

  Mwali JF-Expert Member

  #20
  May 7, 2012
  Joined: Nov 9, 2011
  Messages: 7,032
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  When you have the luxury of sleeping with a stranger in your dream
  You don't go for cockroach style bwana... hapo umeni let down kidogo
  But for the rest nadhani huja cheat. You are fine. Ulilala mchana?
   
Loading...