Hii tafsiri ya uzalendo ya Lumumba inachekesha sanaHii ndo TZ, wakati North Korea wataalamu wao wanafikilia kuidukua SK,US na baadhi ya makampuni UK, wataalamu wetu wanaanza kuidukua nchi yao ha ha haaa!! uzalendo wako uko wapi kwa nchi yako!!!!
Wenye uchungu wa kweli na nchi yao wanaitwa wasaliti, lakini wanafiki wanajiita wazalendoHii ndo TZ, wakati North Korea wataalamu wao wanafikilia kuidukua SK,US na baadhi ya makampuni UK, wataalamu wetu wanaanza kuidukua nchi yao ha ha haaa!! uzalendo wako uko wapi kwa nchi yako!!!!
Don't watakupata tuu utakosa kitu muhimu kwa ujinga wa muda mfupi.Sijui anaweza akadakua ARIS nimtafute [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Umejua kunifurahishaEndeleeni baba pesa za wazazi wenu hadi zirudii
Crime yenye tija..!That is a crime against the state mkuu...kesi yake ni uhujumu uchumi..watch out
Ukisikia mbwa anamng'ata boss wake ndo hapo ila hawana makosa kwasabbu wananjaa na njia pekee ndo hiyo ya kushibaHii ndo TZ, wakati North Korea wataalamu wao wanafikilia kuidukua SK,US na baadhi ya makampuni UK, wataalamu wetu wanaanza kuidukua nchi yao ha ha haaa!! uzalendo wako uko wapi kwa nchi yako!!!!
Sasa kama hao I.T wote wakibuni kila mtu miradi yake kwa hao I.T ni nan atakae ajiriwa ???sasa ukishadukia tasisi za serikali ndo watakupa ajira!!!!
Nani alikwambia kusomea I.T ni lazima serikali ikuwajiri?
Mbona vijana wengi tunawajua wamesoma I.T na wakabuni miradi mingi kulingana na taaluma zao!!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] unataka utoe makarai uweke vibanda nini mkuuSijui anaweza akadakua ARIS nimtafute [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nataka nisafishe GPA [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] unataka utoe makarai uweke vibanda nini mkuu
Kwani yangu hujaipenda. 😡Avator yako nimeipenda
Sasa je sisi ambao hatujasoma hata o level lakini I.T tunajua vibaya mno kama bill gates yaani.... Na mwakani tutatengeneza software ambayo itatumika dunia nzima.. 😵 😛sasa ukishadukia tasisi za serikali ndo watakupa ajira!!!!
Nani alikwambia kusomea I.T ni lazima serikali ikuwajiri?
Mbona vijana wengi tunawajua wamesoma I.T na wakabuni miradi mingi kulingana na taaluma zao!!!