Habib Mchange akamatwa na Polisi...!

Habib Mchange akamatwa na Polisi...!

Status
Not open for further replies.
Vijana waliohukumiwa wote niwale wanaotokea Mbeya, Mbozi na Kibaha. Wakati Vijana wa Kilimanjaro wameachwa kwa madai wao wametoa ushirikiano.

Waliohukumiwa ni:
_Mtela Mwampamba-Mbozi, Mbeya
_Habib Mchange-Kibaha, Pwani
-Juliana Shonza-Mbozi, Mbeya
-Joseph Kasambala – Mbeya mjini (kasimamishwa)
- GWAKISA Mwakasendo –Rungwe, Mbeya (kasimamishwa)

Pamoja na wanachama watatu waliopo Mbeya mjini waliofukuzwa uanachama.

Waliosamehewa ni:
_Ben saanane-Kilimanjaro
_Exaud Mamuya-Kilimanjaro.

Hii ni dhamira ya wazi kabisa kwamba CHADEMA sasa ni chama cha kikanda
, Viongozi wa CHADEMA wanatumika kutangaza ukanda kwa watanzania.

Kwa maana hiyo wale wote wasio wa kaskazini ndani ya Chadema tusitegemee kutendewa haki.

source; juliana shonza

Mkuu vipi kuhusu ile ID yako nyingine sijaiona hapa!hahahahahah!!we mbayaaa!
 
Mkuu mtu tuliyetaka kumpa uongozi wa jimbo aende kununua simu ya wizi wakati unajua ni kosa na wewe unamtetea???kweli Tanzania ni zaidi ya uijuavyo!
labda kanunua simu iliyoibiwa bila kujua,au kategeshewa watu wamemuuzia simu wakijua kabisa ni ya wizi,ili baadae wamgeuzie kibao unacheza na John Mrema wewe
 
Ni lazima niwe Tatizo kwenu...na sina dalili ya kuacha kuwa Tatizo katika siku za usoni


Ulipofukuzwa ukapotea underground ukaja ukafungua ID juzi tarehe 11/01/2013 na kujiita Osamamtanzania.Kama kukua ndiyo kukubali kuwa Kuwadi na Msaliti kwa CHADEMA basi sitaki kukua kwa aina hiyo na akili hizi hizi ndizo zinazofaa.Hizo nyingine zizitaki

Mkuu kaumbuka na hizo ID zake kule kwenye thread ya Shonza anaandika na kujijibu mwenyewe,usipate nae tabu sana...

By the way mkuu wewe ni nomaaaa Masalia wote wamekaa....!
 
labda kanunua simu iliyoibiwa bila kujua,au kategeshewa watu wamemuuzia simu wakijua kabisa ni ya wizi,ili baadae wamgeuzie kibao unacheza na John Mrema wewe

Hapana mkuu mi napingana na wewe huyu anaonekana ni kibaka wa kawaida tu,sio yeye tu hata wewe hutakiwi kununua simu kutoka mkononi kwa mtu tena bila risiti halali kama kweli unavyosema kwamba inawezekana kashikishwa hiyo simu,bado ni KOSA
 
Mwigulu chemba ya maji ninakuona hapa nenda ukamuwekee dhamana kijana wako
 
Jaman yule mwanajesh aliyetaka kuua mke na mtoto wa rafiki yake,stori yake imehishia wapi?kilasiku naperuz kwa 7bu yake lakin sion ki2,mwambie atiririke
 
ZITTO MAPIGANO NI KATIKA SHIDA NA RAHA,
TAFADHALI USIWASAHAU WAPIGANAJI WENZAKO,WAPELEKEE JAPO UJI,

TUSIISHIE KUAGA KWETU TUUUH...!! :noidea::noidea::noidea:
 
Aliyewahi kuwa Mwanachama wa CHADEMA na Mgombea ubunge wa Jimbo la Kibaha Habib Mchange anashikiliwa na kituo cha Polisi Mabatini Kijitonyama kwa tuhuma za wizi wa Simu.

Habib Mchange alikamatwa jana usiku na mpaka leo asubuhi alikuwa bado hajapata dhamana. Huku mahojiano yakiwa yanaendelea kituoni hapo.

Habib Mchange alifukuzwa Uanachama wa Bavicha mapema mwezi huu kwa utovu wa nidhamu na usaliti dhidi ya Chadema ambapo mbali na kufukuzwa Bavicha alipoteza pia uanachama wa Chadema kikatiba.

Source: Mimi Mweyewe-Molemo.

Haka ndiko kakijana kaliuza ubunge wa kibaha!!! Tulikachagua kwa kura nyingi kakatusaliti!!! jamani vijana!
 
Duuuuuuuu where is prezzo aka dogo?


yuko bize anatafuta panya,,

mimi kwetu nafuga paka,kwaiyo msaada wake siutaki.

:laugh::laugh: :laugh::laugh: :laugh::laugh: :laugh::laugh::laugh: :laugh::laugh::laugh: :laugh: :laugh::laugh: :laugh::laugh: :laugh::laugh: :laugh::laugh: :laugh::laugh: :laugh:
 
Ukweli ni kuwa,Ndugu Mchange hajathibitika, pasipo kuacha chembe ya shaka, kuwa alitenda kosa la wizi.Kwa sasa ni mtuhumiwa tu.Kuthibitisha kwamba aliiba ama la si jukumu letu.Hilo ni jukumu la mhimili wa Mahakama.
Haya si matakwa, maoni ama matamanio yangu.Hoja hii ina mizizi yake katika ya misingi,thamani, tunu na utamaduni wa kidemokrasia unaotutaka kuheshimu,kutambua ,kuhifadhi na kulinda Haki za Binadamu, Utawala wa Sheria na Utawala Bora.Kwa hakika,kuwa Wanademokrasia wa kweli ni pamoja na kutambua kweli hizi pasipo kujali tofauti za kisiasa,kiitikadi,kimaslahi ,kimitazamo na kimwelekeo miongoni mwetu.

 
Ole wao wanaoshuhudia uongo...
Mr.President usije ukamkana.......
Nasikia kalamba kweli na sio simu moja, ila katapeli za mamilioni yaani kamwingiza mfanyabiashara chaka ......
Duh
Wafadhili wake wamekoma kutoa mshiko kwa kuhofia kufatiliwa na mkono wa Ben Saanane akona isiwe tabu...
Crashwise utaniponza.....lol
du mpaka sasa hajaachiwa tuu??ngoma imellala hiyo huyo kesho Kisutu,mtuletee picha pls

Shoza na Drogba mjipange sasa mkamuwekee dhamana team mate wenu

Namuonea huruma sana , hata kama ana makosa bado hastahili adhabu ya kudhalilishwa namna hiyo , hebu wana CDM mliokaribu na eneo la tukio muokoeni Habibu jamani !
Ni kweli mkuu Erythrocyte
na vile alikimbia shule...kazi ipo kwelikweli

Hakika Mungu ni mwema wakati wote.

Alivyokua CDM walimuona muhimu kwao na walikua wanamlipa kwa kazi waliyomtuma, leo kamwagika CCM hawataki hata kumsikia amekua kama cond..m! poor habib.......... umechoka mpk unaiba simu? ukitoka nenda temeke mtemvu kashawatafutia ajira uarabuni.......!

B saa tisa atakuwa anahusika hapa, lazima atakuwa amemtegea hiyo kitu! Hutu dogo ni afadhali ya Yuda !
Duh Shinto....Huogopi kudanganya kiasi hiki?
kama kiogozi anafikia hatua ya kukwapua simu, sasa si anaweza kuwauza hata wananchi wake? CDM mnaona mbali jamaa asingewafaa. ntapita hapo kijitonyama ni njia ya kwenda nyumbani nimcheki.

Mhhh!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom