Ogah,
Wengine tumejaribu kushirikiana, lakini ili ushirikiano uwepo si ni lazima pande zote mbili ziwe tayari kushirikiana?
Suala la Kyela mimi sasa nimejiondoa kuongelea watu hivyo sitaingia ndani zaidi.
Mbona hujatupongeza kwa kutokuwa wabaguzi? Hata dadako na wajomba zako wanaruhusiwa kugombea vyeo Kyela.
Tukizungumzia maslahi ya Taifa na sio Binafsi..Mbinu za kumchafua Mwakyembe haziwezi kushinda... inajulikna kwamba kuna kundi linataka kuona Mwakyembe, Mama Kilango, Sitta na baadhi wabunge hawarudi ktk uchaguzi wa mwaka 2010 kwa sababu wabunge hawa wamekuwa chachu ya chama hicho hata kusababisha kundi kubwa la viongozi kuondolewa madarakani..
Kwa hiyo yatasemwa mengi sana, lakini ukweli unabakia kwamba makundi ndani ya chama hayakuanzishwa na Mwakyembe.. tunayaona Busanda na kila kata, wilaya mkoa kwa sababu hakuna kiongozi asiyetaka kukaa meza kubwa ktk kugawana umaskini..
Na Machafuko ndani ya CCM yanaweza kuwa sababu kubwa ya ushindi kwa vyama vya Upinzani hivyo wao waendelee tu kujimaliza na siasa uchwara za kupigana makonde wakati sinia la ubwabwa linaisha.
Sikonge,
Mbongo huyo huyo wa UK sasa wanapita makanisani kupandikiza chuki kwamba misaada anayosaidia, kapewa pesa na Lowassa, ndio siasa zetu za Tanzania, ni mufilisi. Jamaa mwenyewe anasaidia kwao kila mwaka kuanzia miaka ya 90, basi huyo Lowassa keshamjaza jamaa mapesa mengi kweli kweli.
Jamaa mwenyewe huko aliko anacheka tu. Boksi linachosha bwana, wacha jamaa akunje pesa za EPA naye atanue kidogo kwi kwi kwi!!!
Vijana mnaotaka kwenda huko mwakani jiandaeni kweli kweli kwa vita.
Ila uzuri wa dunia hii ukipandikiza chuki utavuna chuki, ukipandikiza neema unavuna neema. Watanzania sio mabwege tena!
Bro Mtanzania
Nimefuatilia sana post zako na kwa kweli pamoja na ujuzi wako wa kuandika na kuficha msimamo wako lakini ni dhahiri kabisa unaonekana uko kinyume na Dr na umekuwa ukijitahidi kulionesha hilo. Sasa hakuna binadamu asiye na kasoro ila Dr amejitahidi sana pengine kuliko wabunge engi sana waliopita.
Roho inauma sana pale watu wachache wanapoamua kujitoa mhanga kwa ajiri ya nchi na shukrani yao inakuwa ni kuwatafutia weakness ndogo ndogo kama hizo. Ndiyo maana laana hii inatuandama sana. Binafsi nachukia sana watu wanaotaka kuwa moderate hasa katika khali ya sasa ya nchi ilivyo. kwangu ni muhimu mtu akawa kambi ya mafisadi au wachukia mafisadi. katikati na kusubiri upepo unaenda wapi naona ni hatari sana.
Bro Mtanzania
Nimefuatilia sana post zako na kwa kweli pamoja na ujuzi wako wa kuandika na kuficha msimamo wako lakini ni dhahiri kabisa unaonekana uko kinyume na Dr na umekuwa ukijitahidi kulionesha hilo. Sasa hakuna binadamu asiye na kasoro ila Dr amejitahidi sana pengine kuliko wabunge engi sana waliopita.
Roho inauma sana pale watu wachache wanapoamua kujitoa mhanga kwa ajiri ya nchi na shukrani yao inakuwa ni kuwatafutia weakness ndogo ndogo kama hizo. Ndiyo maana laana hii inatuandama sana. Binafsi nachukia sana watu wanaotaka kuwa moderate hasa katika khali ya sasa ya nchi ilivyo. kwangu ni muhimu mtu akawa kambi ya mafisadi au wachukia mafisadi. katikati na kusubiri upepo unaenda wapi naona ni hatari sana.
Shalom,
Mhhh, naona unachanganya Yesu na Wayahudi? Hapo tu ni mwanzo wa mchanyato mzuri sana. Haya, Shaloom!!
Labda niseme kwa ufupi tu kuwa, ndugu yangu, wee ndiyo Mpenzi wa Dr. na roho inakuuma kwa sababu ya mapenzi yako. Ukipenda, chongo utasema Kengeza. Ila hayo ndiyo mapenzi na una haki ya mapenzi hayo.
Mwakyembe hadi leo hii bado anavuna alichokipanda. Huu ugawaji wa watu tulianza kuusema hapa zamani sana. Ukianzia mwanzo wa hii makala hata mie nilikuwa upande wake sana. Nilipokuja kupewa habari za dharau zake na kugawa watu sikuamini. Leo kikao cha CCM kimemsema waziwazi na hata mwenyewe kakubali hilo. Alikuwepo hapa kwa jina la Lazarus Mtindi (soma makala zake huko nyuma), uone alivyokuwa akiandika na hapo ndipo uje tuanze maongezi. Kwa sasa unakuwa kama vile unadandia train la Kifaransa (TGV) kwa mbele.
Labda tu nikukatishe tamaa. Mafiadi wana karata fulani wameshika against Mwakyembe. Mie hadi leo nimeshasikia mbili. Hizi kwa uhakika wanasubiri mwakani ndiyo wazitumie. Karata hizo siyo nzuri kwa Dr. Kwa hiyo kama unafikiri sisi hapa hatumpendi Mwakyembe, basi unakosea sana. Tumejitahidi sana kumpa mawazo ili ajijengee ngome nzito na hapo mwakani hata wakimshambulia, basi wapunguze tu ngome yake ila wasimmalize. Yatakayomuuwa Mwakyembe ni mawili tu na haya ni hata kabla MAFISADI hawajaanza kumshushia kipigo:-
1. Siasa za AU UKO NA MIMI, AU WEWE NI ADUI YANGU.
(Kugawa watu wa Kyela).
2. Dharau kwa watu wa kawaida, kwani yeye ni msomi (dr wa sheria!!).
Kama aliweza kuwakusanya watu kabla ya uchaguzi, kitu gani kimefanya leo hii watu hao waanze kumpinga? Mtu gani anapeleka hadi kuligawa kanisa langu la Moravian? Jamani!!!! Unagawa watu hadi kwa YESU!!
Mkuu Shalom.
Kajitahidi kafanya nini?.Kawafanyia nini wanachi waliomchagua?
Kuandikwa na magazeti ya mengi ndiyo kujitahidi?.
Ameshindwa kuunganisha nguvu ya wanachi na kufanya kazi nao pamoja.
Ofisi yake muda wote imefungwa na yeye yuko dar kula kuku.
Sikonge
Karata mbili za mafisadi zitakazo weza kumjeruhi Dr ni
1. Kumtoa roho yake
2. Kuhakikisha wanaipeleka ahera kabisa maana wakiitoa na akaenda peponi itakuwa ni ushindi mkubwa sana kwake.
DR ana fall back position siyo kama wabunge wetu wengi ambao wanahemea hapo. yeye anaweza kupata kazi sehemu yeyote hapa duniani na kuwa na maisha mazuri zaidi ya haya ya kujibishana na wapiga kura wasioelewa kitu. kwa hiyo kutoa ubunge kwa DR sio kumharibia DR bali sisi watu wa kyela. Nomba ufahamu hilo
Yes inawezekana watu mnamwona ana dharau lakini sisi tunataka maendeleo magoti kama yale ya mgombea wa busanda yatatusaidia nini?. au Huyu anaye hudhuria kila misiba na kila shughuli yamelisaidia nini taifa? Kama anadharau watakao ziona ni wale wanaomfuata mfuata.
Siasa za uko na mimi au na adui zangu zina tatizo gani wewe unapenda wanafiki? hata mimi huo ndiyo msimamo wangu sitaki watu walio vuguvugu kwenye issue yoyote na wanyakyusa nadhani wengi ndiyo wako hivyo. Ndiyo maana hata nyerere alikuwa hatupendi kwa msimamo huo.
halafu mimi nikate tamaa mara ngapi sasa, mafisadi kama wana issue wangetumia sasa kwani mwakani ni too late kabisa na skendo zenyewe eti ana kiwanda cha kufua umeme wa upepo au alimtongoza fulani sasa hayo si ndiyo maisha ya watanzania 80% . we endelea kuwaendekeza mafisadi na kuwapa moyo kwamba wana karata mbili. Ungekuwa unampenda kwa sababu umesema unazijua ungezimwaga hapa nasi tutamfikishia lakini hauna mapenzi naye yoyote zaid ya kumchukia si jui kwa lipi eti ana dharau! nikuorodheshee list ya enye dharau hapa na hujawahi kusema hata siku moja ila aliye wataja mafisadi ndiyo anadharau
Mhhh, naona unachanganya Yesu na Wayahudi? Hapo tu ni mwanzo wa mchanyato mzuri sana. Haya, Shaloom- unamaana Dr ni myahudi na yesu ni mwakipesile? kuwa straight ndugu
Sikonge
Karata mbili za mafisadi zitakazo weza kumjeruhi Dr ni
1. Kumtoa roho yake
2. Kuhakikisha wanaipeleka ahera kabisa maana wakiitoa na akaenda peponi itakuwa ni ushindi mkubwa sana kwake.
we endelea kuwaendekeza mafisadi na kuwapa moyo kwamba wana karata mbili. Ungekuwa unampenda kwa sababu umesema unazijua ungezimwaga hapa nasi tutamfikishia lakini hauna mapenzi naye yoyote zaid ya kumchukia si jui kwa lipi eti ana dharau! nikuorodheshee list ya enye dharau hapa na hujawahi kusema hata siku moja ila aliye wataja mafisadi ndiyo anadharau
Mhhh, naona unachanganya Yesu na Wayahudi? Hapo tu ni mwanzo wa mchanyato mzuri sana. Haya, Shaloom- unamaana Dr ni myahudi na yesu ni mwakipesile? kuwa straight ndugu
Mhhh, naona unachanganya Yesu na Wayahudi? Hapo tu ni mwanzo wa mchanyato mzuri sana. Haya, Shaloom- unamaana Dr ni myahudi na yesu ni mwakipesile? kuwa straight ndugu
Mkuu Shalom.
Naona sasa unaanza kuishiwa.
Kama ana kazi nyingine ya kufanya,basi mshauri aende huko na sio kuwagawa watu.
Wakati wenzetu wanafikiria kuungana,leo hii wewe unashabikia mtu anayegawa watu.
Walichokosea wana kyela ni kumchagua mtu ambaye walikuwa hawamjui.Sio siri ndugu yangu Shalon, wote tulimpenda sana huyu DK.Lakini upendo wetu kwake kumbe ni kazi bure.
Sisi wana kyela tumeamua kwa nia moja.Kwamba yeyote atayekuja .Swali la kwanza ni kumuuliza.Umetufanyia nini na sio utatufanyia nini.
Hayo ya utatuifanyia nini ndiyo yaliyotufikisha hapa tulipo sana.Kwamba mke na mume hawapatani kutokana na Mwakyembe kukamilisha lengo lake la kutugawa.
Labda hana uchungu na wilaya yetu kutokana na kwamba yeye ni mzaliwa wa Tukuyu.Kule tukuyu wako mbele sana na sasa yeye kazi yake ni kukaa Dar wakati huko kwao Mwandosya na Mwakyusa wakifanya kweli.
Shalom,Mshauri dk akatafute kazi nyingine ,ili aishi maisha bora kuliko huo ubunge wa kugawa watu.
Amen
Wee Mtu vipi? Unachukua neno hata hujui maana yake? Shalom ni Salamu ya WAYAHUDI. Wayahudi ni WAPINZANI wakubwa sana wa Yesu. Sasa unaposema I Love Jesus na pembeni SHALOM, si Mchanyato huo? Hili halikuwa na umuhimu wowote hata hivyo. Lilinifurahisha tu na halina UHUSIANO wowote na hii mada na ningeliweza kuliandika katika jumbe zako zozote zile.
Mwakipesile awe YESU? Mwakyembe awe MYAHUDI? PULIZII!!!!!!
Na Israel Mwaisaka,Mbeya
HALMASHAURI kuu ya CCM ya wilaya Kyela imemtuhumu mbunge wao Dkt,Harrison Mwakyembe pamoja na mwenyekiti wa CCM wilaya Bw,Japhet Mwakasumi kuwa ndiyo vinara wa kukigawa chama hicho katika makundi na kusababisha viongozi kushindwa kuelewana miongoni mwao iliyopelekea hivi karibuni makatibu kata kuwapiga viongozi wa wilaya
Katika kikao hicho wengi ya wajumbe walimshushia makomboraDkt,Mwakyembe kuwa toka yeye awe mbunge wa jimbo hilo ametengeneza makundi ndani ya chama huku akidaiwa kummiliki mwenyekiti wake wa chama wa wilaya ambaye ameonekana kuyumbishwa katika maamuzi yake mbalimbali
Du wewe ndiyo umechemka kweli shalom maanayake ni hiyo apo chini
The Hebrew word SHALOM is understood around the world to mean peace. But peace is only one small part of the meaning of the word SHALOM. Here in Israel, even though we don't have much in the way of peace, we use the word SHALOM on a daily basis. We use it to greet people with, and we use it to bid farewell to people. However, SHALOM means much more than peace, hello or goodbye.
Strong's Concordance 7965 - Hebrew Shalom..... A word study in the New King James Version for SHALOM says: Completeness, wholeness, health, peace, welfare, safety soundness, tranquillity, prosperity, perfect ness, fullness, rest, harmony, the absence of agitation or discord.
Hata hivyo Yesu nampenda na wayahudi nawapenda kwani ni taifa teule la Mungu sasa hiyo ni weather unataka au unapenda