Habari za afya ya Dr. Harrison Mwakyembe

Mtanzania vipi hapo juu....shule iliyoko Wilaya ya Rungwe kuhesabiwa kama ni ya Wilaya ya Kyela.....enlighten us plse
Ogah,

Hiyo shule ilijengwa na Kiwira coal mine na iko upande wa Rungwe ila iliamuliwa kwamba ni ya Kyela. Ni boarding school kwa ajili ya watoto wa kike.

Inachukua wanafunzi wote toka Kyela na iko kwenye mamlaka ya halmashauri ya wilaya ya Kyela. Halmashauri hiyo inakodisha majengo ya huo mgodi wa fisadi Mkapa.
 
Back
Top Bottom