Leo president anaenda mpanda
Ntamaholo kama umekorofishwa home usituletee hasira zako hapa,inatuhusu kwakuwa anatembea nchini badala ya nje ya nchi,inatuhusu kwakuwa ni rais wa inji hii,inatuhusu ataenda kuona kwa mara nyingine umasikini ulivyokithiri vijijini.kwa hiyo? inatuhusu nini JF? NA IPI HBR NJEMA HAPO?
Mamito hujambo ? nimefurahi kukuona tena hapa, umeadimika sana vibaya hivyo.Leo president anaenda mpanda
Labda umwambie wewe.Vivy bana!! Haya basi mzima wewe?? Alafu kwanini siku hizi hukanyagi kabisa MMU unaishi tu hapa lounge room??
Mamito hujambo ? nimefurahi kukuona tena hapa, umeadimika sana vibaya hivyo.
Labda umwambie wewe.
Hii hata haihitaji kusoma between the lines ni kitu cha kufurahia na kuomba kiendelee tufike mahali rais awe hajaenda nje mwaka mzika kama Kibaki.niliwahi kuanzisha thread kule jokes ya 'ugeni mzito' kwamba tutambelewa na rais wetu kwa siku 3 akitokea S.Africa akiwa njiani kuelekea New York ilichangiwa sana kuonyesha watu wasivyopenda safari zake nje ya nchi.Umeona eeeh?? Naona uko kumuelewesha jamaa (hajui the art of reading btn the lines...)
Hii hata haihitaji kusoma between the lines ni kitu cha kufurahia na kuomba kiendelee tufike mahali rais awe hajaenda nje mwaka mzika kama Kibaki.niliwahi kuanzisha thread kule jokes ya 'ugeni mzito' kwamba tutambelewa na rais wetu kwa siku 3 akitokea S.Africa akiwa njiani kuelekea New York ilichangiwa sana kuonyesha watu wasivyopenda safari zake nje ya nchi.
ntamaholo kama umekorofishwa home usituletee hasira zako hapa,inatuhusu kwakuwa anatembea nchini badala ya nje ya nchi,inatuhusu kwakuwa ni rais wa inji hii,inatuhusu ataenda kuona kwa mara nyingine umasikini ulivyokithiri vijijini.
Ntamaholo kama umekorofishwa home usituletee hasira zako hapa,inatuhusu kwakuwa anatembea nchini badala ya nje ya nchi,inatuhusu kwakuwa ni rais wa inji hii,inatuhusu ataenda kuona kwa mara nyingine umasikini ulivyokithiri vijijini.
asante,hujaniita dadito mbona lol!kula tano. you have seen between the lines