Habari njema

Hivi hata kulima serikali haiwezi?
Naona kwenye hiki kikao cha kikwete,eti wanawaita wawekezaji kulima
Mikoa ya Rukwa,Mbeya,Ruvuma na Iringa haihitaji wawekezeji wa kilimo wanahitaji MASOKO ya uhakika na RUHUSA ya kuuza ziada nchi jirani.
Ikiendelea hivi msishangae tukaletewa wawekezaji wa kuzaa na wake zetu ku-imrove kizazi kijacho lol!
 
Dadiito kamata Glass ya Juice. sorry Tusker.

Masoko, masoko, masoko-- Please get this massage my Dear president
 
Back
Top Bottom