Habari njema

kwa hiyo? inatuhusu nini JF? NA IPI HBR NJEMA HAPO?
Ntamaholo kama umekorofishwa home usituletee hasira zako hapa,inatuhusu kwakuwa anatembea nchini badala ya nje ya nchi,inatuhusu kwakuwa ni rais wa inji hii,inatuhusu ataenda kuona kwa mara nyingine umasikini ulivyokithiri vijijini.
 
Umeona eeeh?? Naona uko kumuelewesha jamaa (hajui the art of reading btn the lines...)
Hii hata haihitaji kusoma between the lines ni kitu cha kufurahia na kuomba kiendelee tufike mahali rais awe hajaenda nje mwaka mzika kama Kibaki.niliwahi kuanzisha thread kule jokes ya 'ugeni mzito' kwamba tutambelewa na rais wetu kwa siku 3 akitokea S.Africa akiwa njiani kuelekea New York ilichangiwa sana kuonyesha watu wasivyopenda safari zake nje ya nchi.
 
oooh! tumepisha ufikiri Co-worker... unafikiri kama jamaa angeona kwa mwanga huu uloelezea angemvamia Vivian?? Bahati nzuri umekuja na kueleza hivo basi ataelewa ni kwa nini imewakislishwa hapa... (alafu BTW umekua adimu unagusa gusa tu)
 
ntamaholo kama umekorofishwa home usituletee hasira zako hapa,inatuhusu kwakuwa anatembea nchini badala ya nje ya nchi,inatuhusu kwakuwa ni rais wa inji hii,inatuhusu ataenda kuona kwa mara nyingine umasikini ulivyokithiri vijijini.

unadhani atasolve chochote huko kwa watani zangu? Zaidi ni kuandaa miundombinu ya kuwamaliza kiuchumi na kisiasa
 
Tembelea tz uone matatizo sio mtoni kuona barabara za juu mpaka unataka tufanane nao .
 
Ntamaholo kama umekorofishwa home usituletee hasira zako hapa,inatuhusu kwakuwa anatembea nchini badala ya nje ya nchi,inatuhusu kwakuwa ni rais wa inji hii,inatuhusu ataenda kuona kwa mara nyingine umasikini ulivyokithiri vijijini.

kula tano. you have seen between the lines
 
Back
Top Bottom