Habari mbaya: Uwanja wa Uhuru Dar, Watu 45 wapoteza maisha kutoka na msongamano

😂😂😂Dah yani vibe la msafara unawachanganya watu mtu hadi ukimuuliza kinachokufanya ufukuze gar ni kitu gan hata wenyewe hajui
Nimecheka leo Dom kwa Tv naona mtu anakimbia kwa speed ya hatari yuko mbele krb na gari lile jeusi na yupo serious. Nikasema kweli tunatofautiana vipaumbele
 
Nimecheka leo Dom kwa Tv naona mtu anakimbia kwa speed ya hatari yuko mbele krb na gari lile jeusi na yupo serious. Nikasema kweli tunatofautiana vipaumbele
Hahaha eti tunatofautiana vipaumbele. Yani au wanataka waonekane kwenye tv?
 
Ila kweli ukifariki unakua hauna thamani enzi za uhai wake Mwendazake haikuwa rahisi sana kumsogelea kbs ila baada ya kukata pumzi hata ukikatiza mbele yake wala hakuna shida tena unaweza kujifanya ndiyo umezidiwa wale waliokuwa wanakufukuza watakubeba kbs kukupeleka sehemu salama
 
Khaaaa, nilijua maneno ya mtaani kumbe kweliiii???

hivi Mme wake naye kamruhusu kweli au ndio toka nitoke????

Imagine umeacha familia nyumbani unaenda mizunguko unasikia wamekufa wote huko Taifa eti kisa sijui nani huko......

Ghhhhhh....., Huyu marehemu atanisababishia BAN na Kufuru ngoja niishie hapa.

Pole Kwa Baba wa hii familia.
Baba alienda shamba,sasa sijui kama wakikubaliana na hili swala la naenda na watoto
 
😂😂😂Dah yani vibe la msafara unawachanganya watu mtu hadi ukimuuliza kinachokufanya ufukuze gar ni kitu gan hata wenyewe hajui
sijui ni umaskini wa fikra au tusemeje! naendelea kuwashangaa
 
Nimecheka leo Dom kwa Tv naona mtu anakimbia kwa speed ya hatari yuko mbele krb na gari lile jeusi na yupo serious. Nikasema kweli tunatofautiana vipaumbele
akienda kutulia anabaki kujutia tu
 
HUYU MAMA KAMA SIO SINGLE MAZA BHASI BABA WA FAMILIA AFUNGWE JELA JAPO MWAKA MMOJA KWA UZEMBE HUU...!! Yani unaachaje mkeo afanye upuuzi kama huu????? Aibu sana hata simlaumu mwanamke hapaa..

Sent from my SM-G611K using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom