Habari mbaya: Uwanja wa Uhuru Dar, Watu 45 wapoteza maisha kutoka na msongamano

Tanzania na watu wake tunasafari ndefu Sana!!Serikali inapaswa kubeba lawama zote kwa kushindwa kutoa miongozo sahihi ikiwa ni pamoja na kukataza watoto kufika eneo latukio,zoezi liliendeshwa kiholela sana.walemavu walikua wakihangaika .Hii Nchi tunashida kubwa sana ya kiuongozi na hii ni kwenye nyanja zote.
 
Yaan hata marehemu angeamka angemweka jela 24 hrs. Dah yaan huku kukosa elimu tu ukiwa nayo huwez kurisk maisha ya mwanao kizembe vile maana kwa ile nyomi Mtu ilibidi aliposhuka kwenye daladala akaona Hali halisi angepanda nyingine aondoke tu arudi nyumbani maana palishaonekana sio mahali salama kwa watoto wadogo
 
pengine mumewe hakuwepo nyumbani
Lakini sidhani kama Huyu mama usiku huo hakugusia jambo lolote kuhusu kwenda raifa... Familia ambazo mwanamke anakurupuka tu na kuondoka nyumbani bila hata kuaga bhasi jua Baba ni bwegee yani!! Mimi nikioa mke wangu hawezi kwenda mahali bila kiniaga nasema BALAA LAKE SIO DOGO.

Sent from my SM-G611K using JamiiForums mobile app
 
Lakini sidhani kama Huyu mama usiku huo hakugusia jambo lolote kuhusu kwenda raifa... Familia ambazo mwanamke anakurupuka tu na kuondoka nyumbani bila hata kuaga bhasi jua Baba ni bwegee yani!! Mimi nikioa mke wangu hawezi kwenda mahali bila kiniaga nasema BALAA LAKE SIO DOGO.

Sent from my SM-G611K using JamiiForums mobile app
Wanazikwa Alhamis Mkuu,misa itakuwa KKKT Kimara Korogwe then watazikwa home kwao hapo hapo Kimara
 
Imeniuma nikiangalia wtt wangu hapa maskini ndo nikawatese huko kwny misongamano. Tumejikalia zetu nyumbani tunaangalia TV mubashara kabisa.
Wametoa idadi kamili ya waliofariki kwenye mkanyagano? Nasikia kuna wengine.
 
... ila watanzania tuna akili za ndezi sana! Yatosha tu kusema hivyo.
Nadhani tatizo ni kuwaamini viongozi wao kupindukia, wanasahau kwamba hao ni just human beings kama wao na wanasukumwa na personal interests na ndoto zao za maisha.
 
Best hivi ni kweli zamani sabasaba na nanenane mtoto akipotea halafu uende umpate kwa polis cha kwanza mzazi unazabwa vibao vya uhakika?
Zamani pale saba saba ni kweli watoto walikuwa wanapotezana na wazazi. Lakini waandaaji walikuwa na mfumo mzuri kwamba mule ndani kulikuwa na kituo cha polisi, wanapelekwa pale halafu kulikuwa na maspika mule ndani wanatangaza aliyepotelewa na mtoto afike kituoni hapo polisi saba saba. Unaenda unamkuta mwanao ila na matusi juu kwa kuwa mzembe.
 
Inasikitisha Poleni ndugu , jamaa na marafiki.

Ila Wanawake(Badhi) akili zao bwana zina mashaka ,utaendaje na watoto wadogo kwenye mikusanyiko kama ile tena kuna ugonjwa wa korona?
 
Back
Top Bottom