Candid Scope
JF-Expert Member
- Nov 8, 2010
- 11,890
- 6,899
- Thread starter
- #41
Hivi mwenye masomo 8 na lecturers tofauti tofauti, je wote atawapa rushwa ya ngono ili wamfaulishe?
Si kozi zote ambazo mtu anakuwa mbumbumbu, kuna kozi inayompa taabu ndipo anapoamua kununua credit kwa kumwazima mhazili kutumia kiungo cha mwili wake kwa kumridhia kwa muda ili kupata ridhaa ya kumirimia credit ambazo hastahili.