Kwa mtu yeyote uliyesoma vyuo vya bongo huna haja hata ya kufanya uchunguzi kuhusu swala hili, unless umesoma nje au hujawahi gusa korido za UD, SUA, MZUMBE nk. Tabia hii ipo karibu vyote , lakini CBE na IFM hali ni mabaya zaidi.
Vilevile kumbuka hii ni rushwa kama rushwa zingine ambazo zimetapakaa kila sehemu katika nchi hii. Watu wamepata kazi, vyeo, ubunge, zabuni, scholarships kwa rushwa ya ngono.
Umenena vema Mkuu!!
Ukweli utabaki kuwa ukweli...
Hata bahari ya damu haiwezi kuuzamisha ukweli...
Wahadhiri wetu jitakaseni, hasa vyuo vya serikali ndiyo kumejaa uoza wa rushwa ya ngono