Habari Leo - Wasichana vyuo vikuu hufaulishwa kwa kuridhia ngono kwa wahadhiri

Hivi mwenye masomo 8 na lecturers tofauti tofauti, je wote atawapa rushwa ya ngono ili wamfaulishe?

Si kozi zote ambazo mtu anakuwa mbumbumbu, kuna kozi inayompa taabu ndipo anapoamua kununua credit kwa kumwazima mhazili kutumia kiungo cha mwili wake kwa kumridhia kwa muda ili kupata ridhaa ya kumirimia credit ambazo hastahili.
 
kama kuna mtu anakataa hili ni ubishi tu swala la rushwa ya ngono limekidhiri vyuoni .......
halihitaji lugha ya utamu kulemba hilo
sasa hawa dada zetu si wataisha akimaliza chuo tena kupata kazi inabidi atoe rushwa ya ngono......
Nasikitika kitendo hichi kufanyiwa dada zetu..........
kama bado kuna mtu anatetea hili basi na akae kimya
tuliopo maeneo haya ya vyuo ndio tunayajua haya .......hatuandiki kwaajili ya ushabiki bali ndiyo hali halisi...
 
my avatar says it all,nlipokuwa chuo fulani hapa bongo alikuja ticha fulani kutokea masomoni ambaye kiukweli alikuwa bado kijana.
Jamaa alikuwa anapenda ngono vibaya na madenti wa classes alizokuwa anafundisha. Darasani kwetu alikuwa anawapanga kama kawaida na mbaya zaidi walikuwa wanafahamiana na mwisho wa siku walikuwa wanafaurishwa kwa course alizokuwa anafundisha.
Wanaobisha hii kitu ama hawajawahi kuona au wanataka kuficha ukweli. The matter of fact hii issue ni kweli tupu na inafanyika kwenye vyuo vyetu hapa bongo.

Mimi nimekaa Vyuo Vikuu hapa nchini kwa zaidi ya miaka 20 sasa! Nadiriki kukutukana! Sijui nikuite nini- Mwoga! Kawaida kabisa kila Chuo kina serikali ya wanafunzi, kamati mbalimbali na zaidi wapo walezi ama walimu au kupitia kurugenzi za Wanafunzi(Deans of Students). Unawezaje kukuaa kimya haya maujinga yanapotendeka bila kutoa taarifa! Hata jamani kutuma sms kwa wakubwa ili wakemee tabia hii! Mnatuchafulia jina sisi tunaofundisha na hao dada zenu ambao wanajitahidi katika masomo.

Wanafunzi wadhaifu ni waoga kumfuata mwalimu kuomba msaada wa ziada na hasa wanaume. Wanajisikia (self pride) kiasi kuona ni kujiangusha kwenda kutafuta maelezo zaidi kwa walimu. Wasichana hujituma na kumfuata mwalimu kujua zaidi. Sikanushi kabisa kwamba tatizo la walimu kuwa na urafiki na wanafunzi wao lipo, la hasha. Napata shida kuamini mwanafunzi anaweza akapasishwa kwa kulala na mwalimu. Kama mjuavyo UE sio kuamulia na mtu mmoja.

Kwa ajili ya mawazo finyu kama ya mwandishi huyu- vijisichana (nawatukana ndiyo!) vilivyoshindwa mitihani kihalali, hukata rufaa na kudai eti nilikataa kutoa hongo!

Mwisho tuwe wakweli, kama kuna wahadhiri wadhambi hawa ni kuwafichua kupitia njia nyingi zilizopo, ili waondolewe mara moja!
 
Whether is true or not, the issue at hand is a two way street. For this to happen, you must have professors who abuse their positions, and female students who are willing to accept and tolerate those sorts of abuses. Both of them are at fault. But if I were you, I wouldn't blame female students for the actions of sexual predators who happen to be our beloved university professors.
 
Mimi nimekaa Vyuo Vikuu hapa nchini kwa zaidi ya miaka 20 sasa! Nadiriki kukutukana! Sijui nikuite nini- Mwoga! Kawaida kabisa kila Chuo kina serikali ya wanafunzi, kamati mbalimbali na zaidi wapo walezi ama walimu au kupitia kurugenzi za Wanafunzi(Deans of Students). Unawezaje kukuaa kimya haya maujinga yanapotendeka bila kutoa taarifa! Hata jamani kutuma sms kwa wakubwa ili wakemee tabia hii! Mnatuchafulia jina sisi tunaofundisha na hao dada zenu ambao wanajitahidi katika masomo.

Wanafunzi wadhaifu ni waoga kumfuata mwalimu kuomba msaada wa ziada na hasa wanaume. Wanajisikia (self pride) kiasi kuona ni kujiangusha kwenda kutafuta maelezo zaidi kwa walimu. Wasichana hujituma na kumfuata mwalimu kujua zaidi. Sikanushi kabisa kwamba tatizo la walimu kuwa na urafiki na wanafunzi wao lipo, la hasha. Napata shida kuamini mwanafunzi anaweza akapasishwa kwa kulala na mwalimu. Kama mjuavyo UE sio kuamulia na mtu mmoja.

Kwa ajili ya mawazo finyu kama ya mwandishi huyu- vijisichana (nawatukana ndiyo!) vilivyoshindwa mitihani kihalali, hukata rufaa na kudai eti nilikataa kutoa hongo!

Mwisho tuwe wakweli, kama kuna wahadhiri wadhambi hawa ni kuwafichua kupitia njia nyingi zilizopo, ili waondolewe mara moja!

Mkuu,

Nashukuru kwa kutuletea uzoefu wako wa kukaa mashuleni. Kwa kutumia uzoefu wako ningependa unieleze katika muda uliokaa chuoni ni waProfessor wangapi walipata maonyo au kufukuzwa kazi kwa kuvunja haki za wanafunzi?
 
Hakuna ubishi ,haya mambo yapo,yanaendelea na yataendelea,labda la msingi ni kupunguza kasi ya biashara haramu hiyo.
Wahadhiri sio malaika ni binadamu kama wengine,yawezekana wakaingizwa kwenye mtego huo au wakasuka mtego huo.
Ninaweza kufananisha na enzi za JKT jeshi la kujenga taifa,ilikuwa binti kuruta akitakiwa na afande akakataa,itakatwa kisection maadamu yupo mutaenyeshwa mpaka mtakoma,ilikuwa tunawakimbia hao makuruta wakike kukaa nao karibu kwenye kwata au majumuiko.
Weakness kama hizi tumezishuhudia zinawakumba sio tu wahadhiri wa vyuo hata watu maarufu, Raisi Bill Clinton na Monica, Mkuu wa IMF na mhudumu wa hoteli , Raisi wa Israel amefungwa kwa hilo.
 
Kweli wahadhiri wapo wanaopenda kutembea na wanafunzi kwa kuwahonga marks za bure lakini pia wanafunzi wakike wanajirhisisha sana kwa walimu wao nauhakika ukifanya utafiti makini utaona cases nyingi wanafunzi ndiyo wanaowatega walimu wao!Vijana wa mjini wanaita digrii za vichupi,ndiyo zimejaa sasa hv kilakona!Halafu akimaliza hapo kapewa viti maalum bungeni eti awakilishe wananchi!Tanzania safari bado ni ndefu aiseee!!!
 
Mimi nimekaa Vyuo Vikuu hapa nchini kwa zaidi ya miaka 20 sasa! Nadiriki kukutukana! Sijui nikuite nini- Mwoga! Kawaida kabisa kila Chuo kina serikali ya wanafunzi, kamati mbalimbali na zaidi wapo walezi ama walimu au kupitia kurugenzi za Wanafunzi(Deans of Students). Unawezaje kukuaa kimya haya maujinga yanapotendeka bila kutoa taarifa! Hata jamani kutuma sms kwa wakubwa ili wakemee tabia hii! Mnatuchafulia jina sisi tunaofundisha na hao dada zenu ambao wanajitahidi katika masomo.

Wanafunzi wadhaifu ni waoga kumfuata mwalimu kuomba msaada wa ziada na hasa wanaume. Wanajisikia (self pride) kiasi kuona ni kujiangusha kwenda kutafuta maelezo zaidi kwa walimu. Wasichana hujituma na kumfuata mwalimu kujua zaidi. Sikanushi kabisa kwamba tatizo la walimu kuwa na urafiki na wanafunzi wao lipo, la hasha. Napata shida kuamini mwanafunzi anaweza akapasishwa kwa kulala na mwalimu. Kama mjuavyo UE sio kuamulia na mtu mmoja.

Kwa ajili ya mawazo finyu kama ya mwandishi huyu- vijisichana (nawatukana ndiyo!) vilivyoshindwa mitihani kihalali, hukata rufaa na kudai eti nilikataa kutoa hongo!

Mwisho tuwe wakweli, kama kuna wahadhiri wadhambi hawa ni kuwafichua kupitia njia nyingi zilizopo, ili waondolewe mara moja!

wewe ndo wakutukana, tena tusi chafu! Umekaa miaka 20 wapi? sasa unachokataa rushwa za ngono hazipo vyuoni ni kipi?. Nimesoma zaidi ya vyuo vi3 ndani na nje ya Tz. Nina ushahidi, hata baadhi ya lecturers ni marafk zetu, tunajua.
 
Duh..Buko haikuwa busara kutaja jina
wote wanashawishiana hapa ifm kuna binti mmoja anaitwa violeth.ndosi anasoma it mwaka wa pili group b.alifanya mtihani supplimentally ya c progamming baada ya kuona jinsi madudu aliyofanya hachomokii yeye mwemyewe alimshawishi mwalimu akatembea naye sasa anasoma mwaka pili.mabinti wengi wanaendekeza starehe badara kusoma mwisho wasiku ni kujiregeza kwa waadhili
 
Nashukuru wadau wengi mmeona uzushi wa habari hii. Nakukosoa mwandishi mchunguzi kama ifuatavyo;
1. wasichana uliowahoji ulijuaje kama hawa hakika ni wanachuo tena elimu ya juu? Justification of respondents
2. Ulipoambiwa na dada mmoja tu ukathibitsha uvumi badala ya kufanya extensive and intensive study (longitudinal) badala ya hiyo unjustifiable case study
3. hivyo vyuo vina wahadhiri wa kike, nao uliwaweka wapi kwenye study hii? Nao wangeshuhudia uwepo wa hili au unatka kutuaminisha kuwa wanashadadia (kukumbatia tabia ya wahadhiri wenzao)?
4. Ungekuwa mwanafunzi wa elimu ya juu ungekuwa unapata karibu na zero vinginevyo ungeanzisha kundi lakutafta kufaulu kwa migongo isiyoeleweka ambayo nayo ingefanyiwa uchunguzi na wengine.

Nakushauri kuwa yanayokutuma ubongoni mwako yasiwe sehemu ya jamii

Hovyooooooooooooo!!!!kwani uongo hawagongwi na ma-lecturer?
 
Mimi nimekaa Vyuo Vikuu hapa nchini kwa zaidi ya miaka 20 sasa! Nadiriki kukutukana! Sijui nikuite nini- Mwoga! Kawaida kabisa kila Chuo kina serikali ya wanafunzi, kamati mbalimbali na zaidi wapo walezi ama walimu au kupitia kurugenzi za Wanafunzi(Deans of Students). Unawezaje kukuaa kimya haya maujinga yanapotendeka bila kutoa taarifa! Hata jamani kutuma sms kwa wakubwa ili wakemee tabia hii! Mnatuchafulia jina sisi tunaofundisha na hao dada zenu ambao wanajitahidi katika masomo.

Wanafunzi wadhaifu ni waoga kumfuata mwalimu kuomba msaada wa ziada na hasa wanaume. Wanajisikia (self pride) kiasi kuona ni kujiangusha kwenda kutafuta maelezo zaidi kwa walimu. Wasichana hujituma na kumfuata mwalimu kujua zaidi. Sikanushi kabisa kwamba tatizo la walimu kuwa na urafiki na wanafunzi wao lipo, la hasha. Napata shida kuamini mwanafunzi anaweza akapasishwa kwa kulala na mwalimu. Kama mjuavyo UE sio kuamulia na mtu mmoja.

Kwa ajili ya mawazo finyu kama ya mwandishi huyu- vijisichana (nawatukana ndiyo!) vilivyoshindwa mitihani kihalali, hukata rufaa na kudai eti nilikataa kutoa hongo!

Mwisho tuwe wakweli, kama kuna wahadhiri wadhambi hawa ni kuwafichua kupitia njia nyingi zilizopo, ili waondolewe mara moja!

sina haja ya kubishana na wewe kwani nasema haya from experience.
Nakushangaa unasema kwanini nisingeripoti issue.....why should i bother for someone who feel proud dating her own lecturers for the sake of marks?......spare me from your shity thinking capacity.
 
Mkuu habari hii ni dhana zaidi kuliko ukweli halisi kwasababu

Nimefanya kazi vyuoni kabla sijaenda kwenye private sector, kupewa marks vyuon na lecturers ni dhana na wanafunzi weak hupenda kuitumia kuonyesha kuwa wameonewa au excuses

a. Utaratibu wa ku-mark mitihani ni wa panel si mwalimu moja hivyo si rahisi kuweka marks kwa ajili ya mwanafunzi fulani

b. Mwalimu anasimimia only 40% ya CW yako, while 60% ni final ambayo mwalimu si lazima asahihishe script yako; wanafunzi wazuri hawana hata sababu ya kuhangaika na mwalimu na wanapasua

c. Kama hiyo haitoshi kuna external examiner anapitia scripts zote na huwa huyu anatoka chuo kingine au kwenye private sector, ana rekebisha marks na marking ya panel; mara nyingi wako in fever of students..

d. Ni bahati mbaya sana wasichana weak hupenda kujipendekeza kwa walimu hasa kwa zile mark 40% za CW lakini hata hivyo mara nyingi hufeli kwasababu kuna another 60% ambazo mwalimu hana control..

Huo ndio uzoefu wangu chuoni lakini kama mambo yamebadilika basi kuna haja ya kufanya utafiti wa kina ili tusiwa onee wahadhiri na wanafunzi pia..
 
pia kwa chuo kama st joseph na sua wasichana hufaulishwa kwa sababu ya jinsia yao. Hata akiandika madudu ktk mtihani maksi anazo

we zumbukuku nimemaliza hapo st joseph batch ya 3 hakuna ki2 kama hicho ece ilianza na waschana 6 wamemaliza 3 watatu wengine walifeli
 
Mkuu habari hii ni dhana zaidi kuliko ukweli halisi kwasababu

Nimefanya kazi vyuoni kabla sijaenda kwenye private sector, kupewa marks vyuon na lecturers ni dhana na wanafunzi weak hupenda kuitumia kuonyesha kuwa wameonewa au excuses

a. Utaratibu wa ku-mark mitihani ni wa panel si mwalimu moja hivyo si rahisi kuweka marks kwa ajili ya mwanafunzi fulani

b. Mwalimu anasimimia only 40% ya CW yako, while 60% ni final ambayo mwalimu si lazima asahihishe script yako; wanafunzi wazuri hawana hata sababu ya kuhangaika na mwalimu na wanapasua

c. Kama hiyo haitoshi kuna external examiner anapitia scripts zote na huwa huyu anatoka chuo kingine au kwenye private sector, ana rekebisha marks na marking ya panel; mara nyingi wako in fever of students..

d. Ni bahati mbaya sana wasichana weak hupenda kujipendekeza kwa walimu hasa kwa zile mark 40% za CW lakini hata hivyo mara nyingi hufeli kwasababu kuna another 60% ambazo mwalimu hana control..

Huo ndio uzoefu wangu chuoni lakini kama mambo yamebadilika basi kuna haja ya kufanya utafiti wa kina ili tusiwa onee wahadhiri na wanafunzi pia..

Soma habari yote kwanza na uielewe ndipo utoe comments. Imeelezwa kwamba kabla ya mitihani mhadhiri humpa mwanafunzi maswali na majibu ikiwa ni shukrani kwa msichana aliyeridhia kuachia mwili wake utumiwe na mwadhiri kwa kujinafsi kwa malengo ya makubaliano kwa hao wawili.

Mhadhiri na mwanafunzi wanajua fika utaratibu wa mitihani vyuoni husahihishwa kwa jopo, ndio maana mwanafunzi huandaliwa maswali na majibu ili kufaulu kwake kuwa kwa uwazi bila hatihati. Soma tena ili uelewe mwandika makala haya kwenye gazeti la Habari Leo alivyofafanua.
 
Sawa mkuu, mwalimu wa chuo aliyefikia kiasi hicho cha kutoa maswali na majibu amekubuhu katika upuuzi...

Besides, utaratibu wa panel ni kwamba katika maswali yaliyopo kwenye mitihani ya mwisho kila mwalimu somo anapeleka maswali yake, panel leaders wanapitisha maswali na mengi yanakuwa katika form of options..kwa mwanafunzi..

Bado sehemu kubwa ya malalamiko at least kwa muda niliokuwepo chuo ilikuwa dhana, tena inakuwa kubwa kwa wale wahadhari ambao wako serious na masomo; na test meaning (40%)...wanafunzi wanaopenda leisurer faire huanza malalamiko..

anyway, mwandishi anaweza kuwa na hoja..nilikuwa naongea experience yangu zamani hizo..mambo huenda yamebadilika.
 
Mambo yamebadilika sana, unaona hata President anakubali kupakwa mafuta kwa mgongo wa chupa kwa kuzawadiwa PHD na chuo ambacho hakina fakati yenye kutoa hati hizo. Kuna fakati pale UDM ambayo imetoa wahitimu wa PHD na hivyo kuweza kuwa na stahili ya kutoa PHD za heshima? Ni usanii tu na wakubwa wakikubali kuvikwa kilecha cha ukoka basi wataendelea kuchezewa. Nyerere katu asingekubali.

Sasa haya ya watoto wa kike bora tutafute njia ya kuwanasua katika mtego huo badala ya kuwatetea wahadhili.
 
Bado naamini kwa asilimia kubwa 80% wahadhiri si chanzo cha matatizo ya ngono vyuoni, nafikiri ni wadada zetu ambao ni weak wanajilengesha zaidi, kama mdada anauwezo wake sidhani kama anaweza kufelishwa na mwalimu lazima huyo mwalimu atakuwa mnyama ajabu na with new technology mbona rahisi tu kuwakamata...

Lakini mimi naamini kuwa wahadhiri wetu pia wana wakati mgumu kwa dada zetu ( I stand to be corrected).

Mtoto wa kike anayeonewa, kufanyia undue force wafanye ngono na mwalimu huyu ana kila sababu ya kusaidiwa tena kwa nguvu zote; maana hiyo ni LAANA aisee...
 
Mambo yamebadilika sana, unaona hata President anakubali kupakwa mafuta kwa mgongo wa chupa kwa kuzawadiwa PHD na chuo ambacho hakina fakati yenye kutoa hati hizo. Kuna fakati pale UDM ambayo imetoa wahitimu wa PHD na hivyo kuweza kuwa na stahili ya kutoa PHD za heshima? Ni usanii tu na wakubwa wakikubali kuvikwa kilecha cha ukoka basi wataendelea kuchezewa. Nyerere katu asingekubali.

Sasa haya ya watoto wa kike bora tutafute njia ya kuwanasua katika mtego huo badala ya kuwatetea wahadhili.

Mkuu !

Don't digress. Hiyo ya president kupewa degree inaweza kuwa ni valid point, but it's irrelevant with what we have here.
 
Ni kweli hayo mambo yapo ila udhaifu wa baadhi ya wasichana kwenye masomo wakati mwingine unakuta wanajipeleka wenyewe kwenye mtego. Hakika kwa mwanafunzi wa kike ambae akili zake zinachemka hao wahadhiri hawataweza kumrubuni labda tu apende mwenyewe
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom