Gwajima: Nina mazagazaga kibao kuhusu Daudi Bashite

Gwajima: Nina mazagazaga kibao kuhusu Daudi Bashite

makanisa mengine bwana !!! yani hiyo ndio ibada? haina hata mwongozo
 
jamani kuliko umguse gwajima ni bora ungemparamia kwingine maaana anatisha
 
Mbinu yake ya kutumia siasa inamsaidia kupata umaarufu ambapo lengo lake la kupata waumini wengi zaidi linafanikiwa.
Mnamchokoza ili mpate sifa naye akijitetea mnasema anatumia mbinu kupata umaarufu. Huo ni ujinga, mlitaka mumuite mla unga halafu yeye ajifungie chumbani na kusema "E BABA WASAMEHE HAWA HAWAJUI WATENDALO"?
Hilo halipo kwa sasa lilikuwepo karne ya kwanza, hata huko ilikotokea dini anayoitumikia Gwajima ujinga huo wameacha. Unaua Myahudi mmoja yeye anachunguza ulitokea wapi na kesho ndege inapiga kombora nyumba yenu na unasababisha baba yako, mama na ndugu wengine nao wanakufa. Kesho utajiuliza sana kabla ya kutenda ubaya tena.
Ndivyo ilivyo sasa hivi, Makonda harudii tena ujinga wa kuwatuhumu watu kwa kutafuta sifa. Nina hakika kama angekuwa muungwana na kuomba radhi lazima angesamehewa. Lakini toto la mtaani na mhuni hajui hata maana ya kuomba radhi. Gwajima kanyaga twende
 
🙂🙂🙂🙂🙂

kwa mapepo haya mmmh...
Hii vita si ya kawaida
 
Jaman hakuna mapya huko mbona kimya sana, mbarikiwe kwa neno
 
Gwajima anajua nini tunataka kusikia yeye anazungukazunguka tuu hadi mb zangu zimeisha[emoji45][emoji45][emoji45][emoji45]
 
Ukitaka kuua mwembe anza na mizizi yake, mwembe ukishtuka hauna pa kushika lakini ukichuma maembe unaupa mwembe nafasi ya kutoa maembe mengine.
 
Maskini jiji letu limetekwa na ndugu wawili leo wote wameweka live mahubiri bora mwapata ulaji wenu.
Tangu lini ndugu wakagombana tena wanatoka kijiji kimoja? Ni kick za Hamorapa na Harmonize.
 
Back
Top Bottom