mshumbue-soi
JF-Expert Member
- Aug 28, 2013
- 1,842
- 1,148
Hapo waongee wale wazee moto uwake kama wa gas
Shishoshisho mayu! Mnampata atali alisataIla hawa wote ni ma Ngosha,Wa Ng'wise mwisho wa siku kahuruma kauhomeboy kanatawala.Bashite Saga is over,O ngw'a
Mayu.Tingitingi mu mbuga !Nabhita isaka naninga ng'odi.Kalagu kize!
Wewe ni zaidi ya litapeli !Huyu ni tapeli kama matapeli wengine.....
Hahahahahahaha...Hilo Pilau Bibie, haha...Umenitoa Udende...ahhaahnjoo na kachumbari
Haahaahha...umeenda Church kusikiliza Kolomije! [emoji23] [emoji119]Hakuna cha wageni toka Kolomije wala cheti. Baada ya hapa hakuna atayeamini maneno ya Gwajima wala Mahubiri yake. Pumbafu sana, me nimekuja kuskia details za Bashite halafu naambulia ujinga
Tapeli mkuu ni asiye na vyeti.Huyu ni tapeli kama matapeli wengine.....
Mkuu mbn kama ugomvi hahahah, nauliza tu VP nabii katoa vyeti uko au nabii nae ni MUONGOMasogange bhana... vuta subira shem... mzee atashinda vita.