Kaboom
JF-Expert Member
- Nov 6, 2011
- 10,832
- 15,034
Kuna dalili za huyo mgeni kuzungumza?..Au tunasubiri Pantoni UbungoBado ninasikiliza mkuu lakini anapita mle mle si kwa maneno makali, anasema ukiwa na laana huwezi kupata mtoto.
Kuna dalili za huyo mgeni kuzungumza?..Au tunasubiri Pantoni UbungoBado ninasikiliza mkuu lakini anapita mle mle si kwa maneno makali, anasema ukiwa na laana huwezi kupata mtoto.
endelea kukurupuka....tatizo ni ukakasi kwenye vyeti....hence ufinyu wa welewa wa masuala.Na wewe ni mmoja wao.
Hahhhahhhahahaaahahahahhaha ilaa arsenal Wenger n mvumilivuu na kavumiliaa kipindi kirefuu ..daud ndioo Kwanzaa anaanzaa safariGwajima namkubali sana katika kusema ukweli.
Wanadamu wawili wanaopitia Kipindi kigumu maishani kwa sasa
1. Arsène Wenger
2. Daudi Bashite
Mmechelewa kuuliza, naona mmeanzia swali la pili. Swali la kwanza lilipswa kuwa: Ni vita ya madawa ya kulevya au TV show?Ni mkutano wa hadhara au mafundisho ya Mungu?
Go Gwajima gioooWatu wanakufa kwa ajili ya Kristo wewe unaangaika na maneno, jibu mda ukikua kiroho Utaelewa
Mda ndo utakaotoa majibu sahihi kitaeleweka tuEti ooh anamchafua Makonda,mlikuwa wapi wakati Makonda anachafua wengine bila ushahidi!Mwacheni Gwajima amchafue nyinyi bakini kumsafisha Makonda
HahahahahhhhAtakuwa amepata wahumini wengi sana leo, waliofikiri watasikia udaku kanisani wakati udaku hana bali maneno tu.
Asisahau na chapa shokanjoo na kachumbari
Kuiba ni dhambi kama kufoji vyetiahahaa viibe
Hahahah...kwaio amsamehe daudi kwa kufoji vyetiHuyu Gwajima si mtumishi wa Mungu ni miongoni Mwa watumishi wa Lucifer! Haiwezekani mchungaji unakuwa na visasi, roho ya chuki, kutamani watu wafe au wafikwe na mabaya! Biblia ilikwisha watabiri watu kama hawa kuwa utawatambua kwa matendo yao hao manabii wa uongo.
Watetezi wa Daudi aka Makonda msituchoshe akili zetu na mahaba yenu. Hivi mnataka kutufanya sie mafala? Huyu mkuu wa mkoa Dar es Salaam kamaliza shule juzi tuu mwaka 2000 au 2001 hapo Pamba Sekondari. Ni majuzi tuu wala sio mbali kama wakina Warioba au mzee Mwinyi ambao sekondari walimaliza miaka ya hamsini au sitini.
Leo ukitaka kumpata Headmaster au second wake au mwalimu yeyote wa Pamba mwaka huo unampata bila shida na hata wanafunzi kwani bado ni watoto wadogo kama huyo RC mwenyewe.
Waletwe hadharani na tuwaulize jee huyo tunayemuona kwenye TV na magazetini mliposoma naye alijulikana kama nani? Daudi au Paulo? Mbona ni jambo rahisi sana? sasa inakuwaje watu wakihoji hilo mnaleta mara sijui Unga, sijui Ukuu wa mkoa mara bla bla za dua leo msikitini na kesho kanisani.
Tunataka majibu, ndio maana tunamsifu Gwajima kuwaleta watu wa Koromije watuambie huyo wanayemuona wanamtambua kama nani kule kwao?
Kikubwa ni kutoa ufafanuzi kuhusu tuhuma kulielimisha kanisa kwa nini wekutaja baada ya kufanya utafiti wa mda mrefu but game imehama na washirika wanashangilia badala ya kupewa majibu ya msingi kwanini wewe wamekutuhumu na sio watumishi wengine, hata kama kweli kafoji hawezi kutoa majibu ya tuhuma zakoHahahah...kwaio amsamehe daudi kwa kufoji vyeti