Gwajima: Nina mazagazaga kibao kuhusu Daudi Bashite

Gwajima: Nina mazagazaga kibao kuhusu Daudi Bashite

Huyu Gwajima si mtumishi wa Mungu ni miongoni Mwa watumishi wa Lucifer! Haiwezekani mchungaji unakuwa na visasi, roho ya chuki, kutamani watu wafe au wafikwe na mabaya! Biblia ilikwisha watabiri watu kama hawa kuwa utawatambua kwa matendo yao hao manabii wa uongo.
sasa kale kajamaa katakuwa kanamtumikia nani....mganga wa jadi au mfalme wa kuzimu.....yaani kale kanakohusisha wengine na sembe huku kakificha agenda za kisiasa nyuma ya pazia....
 
Rc issue haya vyeti aitapita hivi hivi Kama naona watu wanakujau vizuri na wenyewe wapo kimya
 
Nasikia wanywa viroba wamehamia kwenye ugolo
 
sasa kale kajamaa katakuwa kanamtumikia nani....mganga wa jadi au mfalme wa kuzimu.....yaani kale kanakohusisha wengine na sembe huku kakificha agenda za kisiasa nyuma ya pazia....
Na wewe ni mmoja wao.
 
Waongo wapo tu na wataendelea kuwepo, ila Kristo alikuja ili kutafuta na kuokoa kile kilichopotea
Mnalialia kutafuta huruma!Gwajima anapambana na shetani anayetaka kuchafua jina lake na jina la kanisa!angenyamaza mngesema mumemuweza,anabwata mnaneng'eneka.
 
Mnalialia kutafuta huruma!Gwajima anapambana na shetani anayetaka kuchafua jina lake na jina la kanisa!angenyamaza mngesema mumemuweza,anabwata mnaneng'eneka.
Watu wanakufa kwa ajili ya Kristo wewe unaangaika na maneno, jipe mda ukikua kiroho Utaelewa
 
Back
Top Bottom