Gwajima: Nina mazagazaga kibao kuhusu Daudi Bashite

Ye shida yake apige sadaka mjini shule nyie potezeni mda na umbea wenu
 
Anakwepaaa na kutandika nyaraka za kumbariki Bashiteee
 
Gwajima sio mtumishi wa Mungu ni mtumishi wa shetani, mafisadi na wauza unga. Wajinga tu ndio mtaji wake.
Haya ni maoni yako, kwangu mimi ni mtumishi wa Mungu na kama ni mtumishi wa shetani basi shetani ana nguvu zaidi ya mungu na simuhitaji mungu dhaifu kiasi hicho na biblia inasema jino kwa jino.

Makonda amechokoza mwenyewe huu moto wacha umuunguze.

Oparesheni hii inaitwa The battle for total discpline
 
Piga baba pigaaaa tupo mubashara tunakuangalia you tube
 
Nipo hapa karibu na mzee wa Kolomije,atatema cheche hivi punde,anapitia pitia viambatanisho kama final touch
 
Dar es Salaam.Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima amesema yeye ni sawa na mashine ya kusaga na kukoboa ambayo ukiweka miguu unageuka sembe.
Gwajima amesema hayo leo asubuhi katika ibada inayoendelea kanisani kwake hivi sasa akieleza kuwa, "Baba wa familia amechokozwa kuwa anavuta unga watoto wamechachamaa wanataka baba ampige adui yake, nitaendelea kupiga bila kuogopa chochote."
"Watu wananiambia niache kumpiga mbona hawakumwambia yeye aache kunipiga, nitampiga tu na bado kazi inaendelea."

source Mwananchi online.
 
Ukisikiliza between the lines anapita mule mule kwa misamiati.
 
Haya ni maoni yako, kwangu mimi ni mtumishi wa Mungu na kama ni mtumishi wa shetani basi shetani ana nguvu zaidi ya mungu na simuhitaji mungu dhaifu kiasi hicho na biblia inasema jino kwa jino.

Makonda amechokoza mwenyewe huu moto wacha umuunguze.

Oparesheni hii inaitwa The battle for total discpline
Zipo za Mungu za kufanya kazi ambazo ni tofauti na njia za wanadamu, ukitumia njia za ki binadamu katika maswala yaliyotakiwa kutumia njia ya Mungu mwisho utatambua badala ya utukufu ni fedhea
 
Final Battle for total discipiline
 
Zipo za Mungu za kufanya kazi ambazo ni tofauti na njia za wanadamu, ukitumia njia za ki binadamu katika maswala yaliyotakiwa kutumia njia ya Mungu mwisho utatambua badala ya utukufu ni fedhea
Mungu anapenda waongo na wafitini?Nakonda ni mfitini
 
Dar es Salaam.Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima amesema yeye ni sawa na mashine ya kusaga na kukoboa ambayo ukiweka miguu unageuka sembe.
Gwajima amesema hayo leo asubuhi katika ibada inayoendelea kanisani kwake hivi sasa akieleza kuwa, "Baba wa familia amechokozwa kuwa anavuta unga watoto wamechachamaa wanataka baba ampige adui yake, nitaendelea kupiga bila kuogopa chochote."
"Watu wananiambia niache kumpiga mbona hawakumwambia yeye aache kunipiga, nitampiga tu na bado kazi inaendelea."

source Mwananchi online.
Hana lolote huyo tapeli Gwajima.
 
Back
Top Bottom