Gwajima: Nina mazagazaga kibao kuhusu Daudi Bashite

Gwajima: Nina mazagazaga kibao kuhusu Daudi Bashite

Tunaelekea wap akupigae shavu la kulia mgeuzie na kushoto ndio hii tena mchungaji? Akachunge mazezeta wenzie huko
 
Wewe sio padre acha kuwadhalilisha watumishi wa Mungu aliye hai
Wewe lazima utakuwa mvaa kipedo,
Bahati nzuri nasali Parokia ya kristu Mfalme Itigi

Wewe Gaidi jana nilikuambiaje?

ona post yako huko kwingine

Padri Mcharo Senior Member
#2
Yesterday at 7:54 PM

Joined:Feb 3, 2017
Messages:122
Likes Received:180
Trophy Points:60
New
Ndio Maana mimi nilikimbia hilo dhehebu la Wanadamu na kuja Dini ya Allah.

Allahu Akbar. Allahu Akbar.
 
Tumsifu Bwana. Amin.

Naitwa Padri Mcharo kutoka mission ya Itigi Singida.

Nilickia Baba Mchungaji "Bishop Gwajee" aliahidi kwamba kwenye ibada ya Machi 5 (jana) alikua na ugeni special kutoka "Kolomizing".

Bahat mbaya jana nami nilikua tight cku nzima kutoa huduma (si mnajua hizi shughuli zetu za Utumishi).
Nimejaribu ku search you tube, group langu la Mapadri na hata humu JF, cjafanikiwa kuipata hiyo Video clip yenye huo ugeni.

Je, kuna mwenye hiyo clip anitumie inbox au aniambie wapi nitapata.
Nilitaka tu kujua kilichojiri kwenye Madhabahu ya Mtumishi mwenzangu.

hiyo hapo
 
Sikuamini Hata kidogo.Jina lako sio Zogwale.Ulivyofeli la Saba.Ukahamishwa mji ukaenda Kwa Mjomba wako mkoa mwingine.Ukarudia darasa la Sita baadaye ukafauli ukaenda sekondari Halafu ukafeli kidatu cha nne.Halafu ukapotea.
Haya tujuze ilikuwaje?
Haha haha mgogoone nimecheka sana. Mimi jamani siyo Bashi wa Kite chooonde kabisa!!! Nipe email nikuletee misonge yangu. khaaaaaah
 
Askofu Mkuu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Askofu Josephat Gwajima, amezindua operesheni mpya aliyoipa jina la ‘Operesheni 81Mzizima’ huku akimtaka mtu anayeitwa Daud Bashite ajitokeze hadharani kuthibitisha uhalali wa vyeti vyake.

Hivi karibuni, Askofu Gwajima alihubiri kanisani kwake na kusema Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, anatumia vyeti vya mtu anayeitwa Paul Christian, wakati jina lake halisi ni Daud Albert Bashite.

Akizungumza wakati wa ibada kanisani hapo, Ubungo jijini Dar es Salaam jana, Askofu Gwajima alisema operesheni hiyo mpya ni vita ya mwisho ya kumshikisha mtu adabu.

Alisema, tangu aanzishe hoja hiyo, hadi sasa wahusika hawajajitokeza hadharani kujibu tuhuma hizo, jambo ambalo alisema linaonyesha alichokisema ni kweli.
 
hii thread sidhani kama itakaa,threads za bashite sasa hivi zinatolewa kwa kasi..hahahahahahaha
 
Yatosha mtumishi vishatosha vigongo achana nae sio size yako samehe tu.
 
Mwambieni Makonda aweke vyeti

Sasa, Mimi nimeandika kuwa Gwajima ni mpiga deal kwa jina la biblia na Kanisa.

Wewe unatokwa povu ,

Shida yako nini au wewe ndiye Gwajima?
Au una mihemuko ya dini za kuletwa?

Acha hizo aisee
 
Sasa, Mimi nimeandika kuwa Gwajima ni mpiga deal kwa jina la biblia na Kanisa.

Wewe unatokwa povu ,

Shida yako nini au wewe ndiye Gwajima?
Au una mihemuko ya dini za kuletwa?

Acha hizo aisee
Sawa, Gwajima ni mpiga deal. Haya mwambieni Bashite aoneshe vyeti
 
Sasa, Mimi nimeandika kuwa Gwajima ni mpiga deal kwa jina la biblia na Kanisa.

Wewe unatokwa povu ,

Shida yako nini au wewe ndiye Gwajima?
Au una mihemuko ya dini za kuletwa?

Acha hizo aisee
KIKIKI MWAAAFA
 
ule msoto wa kusota mahabusu siku tatu...hajakoma

piga nikupige...hadi kieleweke

Ufufuo na Uzima
 
Kipi kilicho rahis kukimbia nje ya nchi awu kwenda kabatin kukileta pasipo kuwa na gharama
 
Anatafuta Mafuriko ya Sadaka Kanisani kwenye ibada ya jumapili.
 
Muonee huruma Daud Bashite amelikimbia jiji na ingekuwa ngumu sisi kuongozwa na mjinga mwizi wa vyeti
 
Back
Top Bottom