mama kubwa
JF-Expert Member
- Nov 3, 2010
- 6,563
- 10,617
Ilikuwa kazi rahisi kutoa vyeti sasa kafanya kazi ngumu ya kulia mbele za watu mtoto wa kiume.kazi ndiyo kwanza imeanza kwa bashite hivi kama kweli angekua na vyeti vya kwake kabisa angekaa kimya bila ata kuvitoa hapa kuna ukweli umejificha siyo bure ngoja tuone huu mtanange wa bashite.