Kwanini usiwaonee huruma wanaongozwa na division o?Nawaonea huruma sana watu wanaosali kwake.
UTHIBITISHO NDIO UTAMALIZA HILI,.... VYETI HADHARANI... NOTHING ELSE.Yatosha mtumishi vishatosha vigongo achana nae sio size yako samehe tu.
Anatafuta Mafuriko ya Sadaka Kanisani kwenye ibada ya jumapili.
Think twice bfor u wroteNdoa ya Lema matatani.
Katika hizo picha kuna mojawapo Lema lazima akajibu kwa mkewe. Pole Lema.
Gwajima, ni mpiga deal kwa jina la biblia na Kanisa.
Nothing else.
Wewe fkria kwanza kabya ya kuandka cuz unacho sema una uhakika nacho?????Sasa, Mimi nimeandika kuwa Gwajima ni mpiga deal kwa jina la biblia na Kanisa.
Wewe unatokwa povu ,
Shida yako nini au wewe ndiye Gwajima?
Au una mihemuko ya dini za kuletwa?
Acha hizo aisee
MUONEE HURUMA HUYO MTU WAKO ALIYEIBA JINA NA SASA ANATESEKA NA DUNIA.... Mxiuuuuuuu.....Nawaonea huruma sana watu wanaosali kwake.
Poa tu... Ila mwambieni MTU wenu.. TUNATAKA VYETI. BAAAAAAASI..Anatafuta Mafuriko ya Sadaka Kanisani kwenye ibada ya jumapili.
Sawa, Gwajima ni mpiga deal. Haya mwambieni Bashite aoneshe vyeti
Ni maoni yako tunapasalwa kuyaheshim piaGwajima, ni mpiga deal kwa jina la biblia na Kanisa.
Nothing else.
Mwambie uyo mumei atoe vyeti hadharani basi,zogo liishe.
Na ikiwa uongo hao malofa anaowahubiria mahubiri ya chuki wamfanye nini?...Hivi unaendaje kanisani kusikiliza mipasho na kupiga kelele shangilia kabisa!?..Dini ya kweli ni upendo na kusameheana.Askofu Mkuu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Askofu Josephat Gwajima, amezindua operesheni mpya aliyoipa jina la ‘Operesheni 81Mzizima’ huku akimtaka mtu anayeitwa Daud Bashite ajitokeze hadharani kuthibitisha uhalali wa vyeti vyake.
Hivi karibuni, Askofu Gwajima alihubiri kanisani kwake na kusema Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, anatumia vyeti vya mtu anayeitwa Paul Christian, wakati jina lake halisi ni Daud Albert Bashite.
Akizungumza wakati wa ibada kanisani hapo, Ubungo jijini Dar es Salaam jana, Askofu Gwajima alisema operesheni hiyo mpya ni vita ya mwisho ya kumshikisha mtu adabu.
Alisema, tangu aanzishe hoja hiyo, hadi sasa wahusika hawajajitokeza hadharani kujibu tuhuma hizo, jambo ambalo alisema linaonyesha alichokisema ni kweli.
Na wewe anzisha kanisa lako kama imekuchoma...... TUNATOA NA TUTAENDELEA KUTOA KIROHO SAFI... ACHENI MANENO WEKENI VYETI.Ndiyo maana , nasema Gwajima nimpiga deal kama wezi wengine japo yeye anatumia Biblia na Kanisa kutimiza huo wizi wa pesa za watu kama sadaka.
Kwa hiyo, anaweka maneno matatu, kama hivi, *jumapili natoboa siri*
Basi hapo yeye anapiga hesabu ya sadaka itakayo ingia jpili na hakuna siri yoyote atakayotoboa.
Mwambie Makonda aweke vyeti,hiyk ndio njia pekee ya kusimamiaha vita hii.Yatosha mtumishi vishatosha vigongo achana nae sio size yako samehe tu.
UKIMALIZA POVU..... WEKENI VYETI.Na ikiwa uongo hao anaowahubiria mahubiri ya chuki wamfanye nini?...Hivi unaendaje kanisani kusikiliza mipasho na kupiga kelele shangilia kabisa!?..Dini ya kweli ni upendo na kusameheana.
Makonda kakosea kumtaja sawa yeye kama kiongozi wa kiroho angesamehe, 'ukipigwa kofi shavu la kushoto mpe na la kulia' sio kuinua ngumi!.
Very well saidGwajima, ni mpiga deal kwa jina la biblia na Kanisa.
Nothing else.