Gwajima: Nina mazagazaga kibao kuhusu Daudi Bashite

Hiyo kwaya kweli microphone moja waimbaji wengi namna hiyo kuna usalama kiafya kweli?
 
Umeshindwa kumchovya Bosi wako "Mbwajina" kila kukicha uko nae hapo unamsujudu umngojee maza wangu mie?! Kaoge mkubwa wewe mwana mtokea pabaya!!
Usiwe unaniletea m'a'v'ima'vi wako kwa comment zangu
KAMA UNAMUONEA MAMA YAKO WIVU... BASI NJOO NA WEWE PAMOJA.. NDIO UONE KAMA MIMI KAOGE...
 
Wewe fkria kwanza kabya ya kuandka cuz unacho sema una uhakika nacho?????

Kudanganya kuwa ataweka ushahidi wa vyeti kisha hajaweka na pia kusema anawatu toka koromije na hawajatokea na uongo ni dhambi.

Je , anatumia biblia ya kisasa ambayo uongo siyo dhambi?

Haaa haaaa teeeh teeeh, hata mtoto wa Sunday school wa KKKT au Kanisa jingine ukimuuliza kama Gwajima ni mpiga deal na muongo atasema ni deal tu.

Anatumia , njia hiyo ya udanganyifu kukusanya hela kitu ambacho ni kutumia njia za hila kujipatia sadaka kwa njia ya udanganyifu.

Kwa hiyo kwa wanaoisoma biblia wataelewa.

Namuona kama ni mpiga deal tu, nothing else.
 
Hii operesheni inatakiwa iambatane na maombi ya kufunga

Nasikia Mungu, huwa hapokei maombi ya kufunga au maombi tu ya watu wanaotukana na kunenea vibaya wengine au kuombea wengine mabaya.

Labda, kama ni mungu mawe na mungu shetani.

Mtakufa kwa njaaa bure
 
Kudanganya kuwa ataweka ushahidi wa vyeti kisha hajaweka na pia kusema anawatu toka koromije na hawajatokea na uongo ni dhambi.

Je , anatumia biblia ya kisasa ambayo uongo siyo dhambi?

Haaa haaaa teeeh teeeh, hata mtoto wa Sunday school wa KKKT au Kanisa jingine ukimuuliza kama Gwajima ni mpiga deal na muongo atasema ni deal tu.

Anatumia , njia hiyo ya udanganyifu kukusanya hela kitu ambacho ni kutumia njia za hila kujipatia sadaka kwa njia ya udanganyifu.

Kwa hiyo kwa wanaoisoma biblia wataelewa.

Namuona kama ni mpiga deal tu, nothing else.
Jaman unajua kla k2 lazma kiende na protocol.. Hawez akaweka ushahid hadharan wakat mtuhumiwa hajakir k2 bwana Bashite haja sema lolote so haina maana ya kufanya hcho alichosema.. Sooo usimseme mtumsh wa mungu vbaya ukiwa hauna prove
 
Wanabodi
Habari za usiku!!?

Kwenye hii kashifa iliyosababisha mkuu wa mkoa wa Dar aende likizo ng'ambo kuna taarifa imekuwa ikiandikwa kwa kupotoshwa na kwa sababu imeandikwa sana inaonekana kweli.

Kashifa hiyo haikuanzishwa na mchungaji gwajima km inavyoandikwa. Aliyeiibuwa kashifa ya kughushi vyeti bw.Bashite ni yule dada maarufu sana instagram aitwae MANGE KIMAMBI. Huyu ndo aliibua wa kwanza kabisa!

Wakati gwajima anakuja kuikazia,tayari ulishakuwa mjadala kwenye mitandao ya kijamii. Nimeamua kuliweka sawa hili kwakuwa mjadala huu ni wakitaifa na yule Dada anastahili pongezi kwa kuibua jambo hili nyeti kabisaa!!

Nawasilisha!
 
Gwajima ni mpiga filimbi ila 'TUHUMA' Siyo kitu cha mchezo mchezo (It is very costly others are paying now we can see with our naked eyes)
 
Back
Top Bottom