Gwajima: Nina mazagazaga kibao kuhusu Daudi Bashite

huyo mange mwenyew alikuwa ajui vzuri ila gwajima kaja kutueleza kinaga ubaga tangu kolomije, darasa la nne darasa la saba 4m 4 mpka byuoni huko yaliojili huyo mange alikuwa anarukaruka na mimi siwez kumsikiliza huyo mange, ila nahisi wewe ndo mange mwenyewe
 
Nafurahi kuona kila siku mtanzania mmoja anaamka, nadhani mpaka 2020 watakuwa wameamka wengi lakini sio wote.
 
Hizo tuhuma mbona ziko JF kitambo sana tangia 2015 kuhusu huyo bashite. Kikubwa Daudi atoe vyeti na kifungo cha 7 years kinamhusu
 
Hahahahaha.... Mnagombea mwanzisha mjadala wakati inajulikana wauza ngada ndio walioibua huu mjadala?
 
Ugunduzi unalipa?? Kila mtu anataka kuwa mgunduzi wa Bashite...

Waiter naomba balimi yenye nyuzi joto bashite.
 
Kwani nyie mnataka vyeti vya nani? Vya paul makonda au daud bashite
 
Hatutaki kujua chanzo cha taarifa

Tunataka Vyeti vya Paul Makonda na si Daudi A. Bashite

Kwani yeye ndio wa kwanza kupata zero bana?

Anaogopa nini?
tatizo sio zero tatizo kughushii
 
Wanabodi
Habari za usiku!!?

Kwenye hii kashifa iliyosababisha mkuu wa mkoa wa Dar aende likizo ng'ambo kuna taarifa imekuwa ikiandikwa kwa kupotoshwa na kwa sababu imeandikwa sana inaonekana kweli.

Kashifa hiyo haikuanzishwa na mchungaji gwajima km inavyoandikwa. Aliyeiibuwa kashifa ya kughushi vyeti bw.Bashite ni yule dada maarufu sana instagram aitwae MANGE KIMAMBI. Huyu ndo aliibua wa kwanza kabisa!

Wakati gwajima anakuja kuikazia,tayari ulishakuwa mjadala kwenye mitandao ya kijamii. Nimeamua kuliweka sawa hili kwakuwa mjadala huu ni wakitaifa na yule Dada anastahili pongezi kwa kuibua jambo hili nyeti kabisaa!!

Nawasilisha!
Asante sana mkuu na shukrani za dhati zimwendee huyo dada kiboko ya Bashite
 
Hakuna la maana, haijarishi nani kaibua. Jambo la msingi jamaa alipata BASHITE na anatakiwa apishe Watu wa MUNGU (wasio wezi wa taaluma) wapige kazi.
Hilo ndio la msingi alete vyeti
 
Wanabodi
Habari za usiku!!?

Kwenye hii kashifa iliyosababisha mkuu wa mkoa wa Dar aende likizo ng'ambo kuna taarifa imekuwa ikiandikwa kwa kupotoshwa na kwa sababu imeandikwa sana inaonekana kweli.

Kashifa hiyo haikuanzishwa na mchungaji gwajima km inavyoandikwa. Aliyeiibuwa kashifa ya kughushi vyeti bw.Bashite ni yule dada maarufu sana instagram aitwae MANGE KIMAMBI. Huyu ndo aliibua wa kwanza kabisa!

Wakati gwajima anakuja kuikazia,tayari ulishakuwa mjadala kwenye mitandao ya kijamii. Nimeamua kuliweka sawa hili kwakuwa mjadala huu ni wakitaifa na yule Dada anastahili pongezi kwa kuibua jambo hili nyeti kabisaa!!

Nawasilisha!
Wala hiyo siyo kashfa kama unavyodhani,huyo mange ni miongoni mwa waathirika wa kampeni ya makonda.apewe sifa gani mtu mwenye maneno ya shombo kama mange!anatusi hata walioona jua kabla yake?
 
Wanabodi
Habari za usiku!!?

Kwenye hii kashifa iliyosababisha mkuu wa mkoa wa Dar aende likizo ng'ambo kuna taarifa imekuwa ikiandikwa kwa kupotoshwa na kwa sababu imeandikwa sana inaonekana kweli.

Kashifa hiyo haikuanzishwa na mchungaji gwajima km inavyoandikwa. Aliyeiibuwa kashifa ya kughushi vyeti bw.Bashite ni yule dada maarufu sana instagram aitwae MANGE KIMAMBI. Huyu ndo aliibua wa kwanza kabisa!

Wakati gwajima anakuja kuikazia,tayari ulishakuwa mjadala kwenye mitandao ya kijamii. Nimeamua kuliweka sawa hili kwakuwa mjadala huu ni wakitaifa na yule Dada anastahili pongezi kwa kuibua jambo hili nyeti kabisaa!!

Nawasilisha!
Kinachotakiwa ni vyeti tu
 
Back
Top Bottom