Gwajima: Nina mazagazaga kibao kuhusu Daudi Bashite

Wewe sio padre acha kuwadhalilisha watumishi wa Mungu aliye hai
Wewe lazima utakuwa mvaa kipedo,
Bahati nzuri nasali Parokia ya kristu Mfalme Itigi
 
HUYU MTU NI MAGUMASH KANIFURAHISHA ALIVYORUKA KIJOTI TENA INAELEKEA ALIKATA NA MAUNO KABISA

Mimi nimeangalia ule muonekano wa Mama mzazi hauoneshi kabisa kama mtu ambaye mwanae kafariki na kufufuka .

Hana machozi kuwa mwanae kafa ama furaha ya mwanae kafufuka!

Daaah, kazi ipo sana hadi tufike .

Any way let me watch my mouth, though I doubt!
 
Watumishi mbona mnaangamia kwa kukosa maarifa!? Mtu wa nafasi yako ilitakiwa utoe mafunzo ya kusamehe na Upendo,sio chuki na visasi. Mnatukwaza sana baadhi ya wanaKondoo.

Ewe kondoo mpotevu wapi nimetoa mafunzo ya chuki na visasi!!!

Kuulizia video clip ni kutoa visasi...
 
Wewe sio padre acha kuwadhalilisha watumishi wa Mungu aliye hai
Wewe lazima utakuwa mvaa kipedo,
Bahati nzuri nasali Parokia ya kristu Mfalme Itigi

Ewe kondoo mpotevu, kuna dhambi gani kuulizia habari zihusuyo nchi yangu??

Kabla cjawa Mtumishi nilikua Raia kama wewe...
 
nipeni clip akiwa analia hahahah babake ha\jampigia simu live kumbembeleza?😱😱😱😱😱
IMG-20170306-WA0016.jpg
 
Hii ni hatari kabisa. Yaani mimi Zogwale ukisema tu eti sina cheti, nitakutolea mpaka lile gamba la darasa la saba, leaving certificates za form iv na vi. Vyeti vya chuo na transcripts zote na baba lao PhD. Majina ya waalimu wangu wote anzia daraza la chekechea mpaka unicersity degree 3 ninayo kichwani mpaka status zao todate, walio hai na waliokwisha tangulia mbele za Mungu. Sasa ni kwa nini mtu usijitokeze na magunia yako ya vyeti? Mpaka mitihani ninayo!!!!!!
 
Kulikuwa kuna sababu gani ya kimsingi kuandika " Go bishop Gooo"!!!??? Hata mtoto mdogo akisoma uzi wako atapata picha ya nini haswa umekusudia. Tuache UZANDIKI mtumishi.

Sawa. Nime edit content.
Nimeondoa neno chochezi, niambie basi wapi niipate hiyo clip.

Ama ulikuwa unabwatuka tuu hata clip yenyewe huna, bwana mdogo
 
Hiyo clip ilikuwa inapatikana kwenye Facebook page ya Gwajima kupitia live streaming hapo jana. Sina hakika kwa sasa inapatikana wapi. Ila ukitumia njia sahihi kuomba wadau humu JF kuwa na subira utaipata.
 
Tumsifu Bwana. Amin.

Naitwa Padri Mcharo kutoka mission ya Itigi Singida.

Nilickia Baba Mchungaji "Bishop Gwajee" aliahidi kwamba kwenye ibada ya Machi 5 (jana) alikua na ugeni special kutoka "Kolomizing".

Bahat mbaya jana nami nilikua tight cku nzima kutoa huduma (si mnajua hizi shughuli zetu za Utumishi).
Nimejaribu ku search you tube, group langu la Mapadri na hata humu JF, cjafanikiwa kuipata hiyo Video clip yenye huo ugeni.

Je, kuna mwenye hiyo clip anitumie inbox au aniambie wapi nitapata.
Nilitaka tu kujua kilichojiri kwenye Madhabahu ya Mtumishi mwenzangu.

Ahsanten. Ndimi mtumishi Mcharo.
Ipo Youtube ni ndefu zaidi ya Masaa maTANO
 
Hii hapa. Ni kama 5 hours hivi

Hii ni hatari kabisa. Yaani mimi Zogwale ukisema tu eti sina cheti, nitakutolea mpaka lile gamba la darasa la saba, leaving certificates za form iv na vi. Vyeti vya chuo na transcripts zote na baba lao PhD. Majina ya waalimu wangu wote anzia daraza la chekechea mpaka unicersity degree 3 ninayo kichwani mpaka status zao todate, walio hai na waliokwisha tangulia mbele za Mungu. Sasa ni kwa nini mtu usijitokeze na magunia yako ya vyeti? Mpaka mitihani ninayo!!!!!!

Sikuamini Hata kidogo.Jina lako sio Zogwale.Ulivyofeli la Saba.Ukahamishwa mji ukaenda Kwa Mjomba wako mkoa mwingine.Ukarudia darasa la Sita baadaye ukafauli ukaenda sekondari Halafu ukafeli kidatu cha nne.Halafu ukapotea.
Haya tujuze ilikuwaje?
 
Watumishi mbona mnaangamia kwa kukosa maarifa!? Mtu wa nafasi yako ilitakiwa utoe mafunzo ya kusamehe na Upendo,sio chuki na visasi. Mnatukwaza sana baadhi ya wanaKondoo.
Ulokole wa namwachia Mungu ni ilokole wa enzi ya 1970......[emoji15] [emoji15] [emoji15]
 
Cdhan km kuna padri hapo!
N mwanzengo tu kashiba dona,
JF unataja mpaka location [emoji28][emoji28]
 
Kulikuwa kuna sababu gani ya kimsingi kuandika " Go bishop Gooo"!!!??? Hata mtoto mdogo akisoma uzi wako atapata picha ya nini haswa umekusudia. Tuache UZANDIKI mtumishi.
Unaamini kabisa huyu jamaa ni mtumishi ? [emoji38][emoji38] Muhuni tu huyu hana utumishi wowote
 
Back
Top Bottom