KIKAZI
JF-Expert Member
- Aug 26, 2014
- 1,369
- 1,517
teh teh teh hakuna namna itabidi afanye mtihani aise maana wamemkalia kooni huyu bashite awezi kupindua awamu hii.Afanye mtihani Oct 2017.
teh teh teh hakuna namna itabidi afanye mtihani aise maana wamemkalia kooni huyu bashite awezi kupindua awamu hii.Afanye mtihani Oct 2017.
aise bashite nakwambia kazi anayo safari hii ngoja tuone mwisho wake alafu wanao muombea kwann wasimwabie aende kuonyesha vyeti ndiyo arudi kufanyiwa hayo maombi.Ukitaka kutoa boriti iliyo katika jicho la mwenzio,toa iliyo katika jicho lako kwanza.Hiyo ni kwa mujibu wa bibilia.Halafu mtu anajiita mlokole.Hakuna mlokole hapa duniani.Moyo wako uwe safi kwanza kabla hujawa mlokole.Mlokole ni mtu ambaye hana zambi.Je wewe makonda huna zambi!!!??
Makonda kaingiaje humu?Wauza madawa na Kanisa wapi na wapi!!!
Makonda harudi nyuma
Tumechoshwa na umbea wenuAskofu mkuu wa Kanisa la Ufufuo na uzima ,Bwn Josephat Gwajima amesema kwamba, vita ndo kwanza imeanza. Ana nyaraka zote zinazoonesha uhalali wa Mkuu wa Mkoa wa Dsm kwamba jina lake halisi ni Daudi Bashite na kwamba kama anabisha hakuina cheti, ajitokeze kuthibitisha swala hilo.
" Nilichorusha ni kijipande tu, matokeo yake mnayaona. Ajiyokeze akanushe swala hilo kwa evidence na mm ntatoka kumuonesha vyeti vyangu. Mkuu wa Mkoa amemchokoza mtumishi wa Mungu, matokeo yake ndo haya. Ajitoke kuomba msamaha"
Chanzo: MUUNGWANA BLOG
Gwajima: Operesheni hii ni ya kumshikisha mtu adabu Gwajima: Operesheni hii ni ya kumshikisha mtu adabu - MUUNGWANA BLOG
Bashite atakuwa na pressureteh teh teh hakuna namna itabidi afanye mtihani aise maana wamemkalia kooni huyu bashite awezi kupindua awamu hii.
ha hahah basi sawaitabidi hao watumishi wapige maombi ya watu wote daudi na paul kwa pamoja yatakapo angukia ndiyo hukohuko aise teh teh teh.
karibu tenakikikiki u made my day
Gwajima nae ni Bashite tu, kila Siku mikwara hiyo hiyo..hana lolote anacheza tu akili za watanzania.
Mada mbele yetu ni Daudi acha kutupotezaWauza madawa na Kanisa wapi na wapi!!!
Makonda harudi nyuma
HUYU MTU NI MAGUMASH KANIFURAHISHA ALIVYORUKA KIJOTI TENA INAELEKEA ALIKATA NA MAUNO KABISAIla na hao waumini nao sio wa mchezo mchezo, huyo JOYCE alikuwa amekufa lakini wakamkalisha akakaa kirahisi tu.
Tunahitaji kujua ukweli na unafiki na wakati ni huu, hatuna haja ya kusumbuana na vijimambo vinavyotupunguzia kasi yetu ya kufika viwandaniHapa kuna jambo limejificha kweli mkuu.
PIA NA BOSS WAKE ANAMPA BICHWA NA KUMBEBA, Wafwaa..Watu wanapambana naye si kwasababu ya vita ya madawa ya kulevya, si kwa sababu wanataka kuichukua nafasi yake, si kwasababu alipata 0 ila kwa sababu ana kiburi, dharau, majivuno, mtu asiyeheshimu mkubwa wala mdogo, mtu anayependa sifa na kuwadhalilisha wengine n.k amewajeruhi watu wengi kutokana na tabia na matendo yake, hivyo watu wameamua kutumia udhaifu wake kupambana naye
SawaTunahitaji kujua ukweli na unafiki na wakati ni huu, hatuna haja ya kusumbuana na vijimambo vinavyotupunguzia kasi yetu ya kufika viwandani