Gwajima: Nina mazagazaga kibao kuhusu Daudi Bashite

Gwajima: Nina mazagazaga kibao kuhusu Daudi Bashite

Naona nabii Anatengeneza tena mazingira ya kupiga sadaka tena next sunday

Na ile misukule ya kifipa aliyoifufua kutoka makaburi ya kinondoni nadhan itaimba na kumtukuza

Amen
Kumbe anatengeneza pesa sisi tunatoa kwa mapenzi yetu
 
Naona nabii Anatengeneza tena mazingira ya kupiga sadaka tena next sunday

Na ile misukule ya kifipa aliyoifufua kutoka makaburi ya kinondoni nadhan itaimba na kumtukuza

Amen
ccm ni wanafki kwelikweli
 
A stone in the dark, duh my brother makonda won't withstand on this, but sorry my brother
 
sababu ukweli anaujua halafu anachanganya watumishi hawajui wamuombee nani? daudi au paul?
itabidi hao watumishi wapige maombi ya watu wote daudi na paul kwa pamoja yatakapo angukia ndiyo hukohuko aise teh teh teh.
 
kweli mkuu yani uwe na vyeti safi upate shutuma zote bila ata kuvitoa uraiani huyu bashite kuna kitu anakiogopa kwenye sakata lake la vyeti yy alikua ana sakama wenzake sasa kibao kimemgeukia yy anaanza kulia atoe vyetu tu.
Ukitaka kutoa boriti iliyo katika jicho la mwenzio,toa iliyo katika jicho lako kwanza.Hiyo ni kwa mujibu wa bibilia.Halafu mtu anajiita mlokole.Hakuna mlokole hapa duniani.Moyo wako uwe safi kwanza kabla hujawa mlokole.Mlokole ni mtu ambaye hana zambi.Je wewe makonda huna zambi!!!??
 
Back
Top Bottom