kweli kabisa awamu ya kina ngosha hii wacha watambeHahahaaaq mchezo mtamu sana huu
Sasa nchi inatikiswa na wasukuma watatu
kweli kabisa awamu ya kina ngosha hii wacha watambeHahahaaaq mchezo mtamu sana huu
Sasa nchi inatikiswa na wasukuma watatu
Yaani ni kwi kwiHahahaaaq mchezo mtamu sana huu
Sasa nchi inatikiswa na wasukuma watatu
SanaGwajima ni mwamba aisee
Sio watatu wa nne, bila kumsahau msukuma acha watwangane kwanza maana wamezidi unafikiHahahaaaq mchezo mtamu sana huu
Sasa nchi inatikiswa na wasukuma watatu
Akapime na wewe?Ameenda na cheti cha DNA cha mwanae au?
Wanatuigizia futuhi la usukumani , kitwanga nae anatamani kuingia ndan ya futuhi ili wawe wanne,Hahahaaaq mchezo mtamu sana huu
Sasa nchi inatikiswa na wasukuma watatu
Haya yanasemwa na kubaki madhabahuni. Tukiingia kitaa, bampa kwa bampaAdui wa adui yako ni rafiki yako.
Ameenda na cha yule gaidi mvamia vituo !Ameenda na cheti cha DNA cha mwanae au?
Ni utani tu mkuu, nenda kalime achana na hii mitandaoClouds redio kwa Arusha ni ngapi?

ulishawai kuona tembo anamuogopa chura????? nadhani akili yako haiko sawa