Kwenye mwaka mmoja Wa bashite alienda na vyeti au !??? Ujinga hujibiwa kijingaAmeenda na cheti cha DNA cha mwanae au?
Mmoja Wa wajinga hakuna mtu anashangaa vyeti tu uvamie kituo kweliMakonda endelea kuwakimbiza
Wengi wangekuwa hawana mambo ya uchafu na kuvunja sheria wangeshaachana na wewe, ila bado unawagusa unawagusa wachome haswaaaaaa sasa ili wakujue wewe ni nani.
Hongera Mkuu wa Mkoa wa Dar
Mh. Makonda
Makonda oyeeeeee
Duuh itakuwa vizuri sana.Huyu Gwajima tutawaomba wapenzi wa Arsenal wamkodi kwa muda akawaondolee Bashite wao pale Emirate Stadium..
ulishawai kuona tembo anamuogopa chura????? nadhani akili yako haiko sawaDaudi atakuwa akimwona huyu jamaa atakuwa anajisikia haja.
Clouds ni tv/ redio ya ushilawadu, wanapata pesa nyingi kupitia ushilawadu wa bifu za wasanii, watawamaxize hawa watu mpaka supu ya mifupa iishe.
Vipi wewe anakugusa?Makonda endelea kuwakimbiza