Sasa anaogopa nini kwenda na cha mwanae! Atuhakikishie tu waumini wake kuwa yeye ni msafi na hasemi uongo kama anavyotufundisha!Ameenda na cha yule gaidi mvamia vituo !
Bashite akichungulia hii thread atatamani kunya boga.
Unavyoongea ni kama vile ulikuwepo kwenye eneo la tukio na wewe ndiye ulishika pembe wakati ng'ombe anakamwa!!!Naam kweli kabisa lakini sio kuzaana bila mpangilio. Sasa kama ni kitu kizuri kwa nini anakataa na kusema kasingiziwa. mchungaji akisema uongo wengine tuseme nini. Mchungaji akitelekeza mtoto wengine tufanye nini. Mchungaji akiwa mzinzi wengine tuweje? Ombi moja tu DNA MUBASHARA baasi!
Tena anazaa na wazuri sio wagonjwa."Chuma hunoa Chuma", "Wameliamsha dude", "Single touch Double manifastation" "Nazaa, Mwanaume kuzaa" ni baadhi tu ya nukuu ya Baba Askofu Gwajima
Kweli kaka mi nilishangaa mtu mpk mwenyewe anasema "Nikisema nimezaa na Gwajima watu hawezi amini maana mi mtu wa chini angezaa na watu waliojuu juu wangetoa kwenye magezeti" nikajiuliza Gwajima huyu huyu Mashine ya kukoboa na kusagaTena anazaa na wazuri sio wagonjwa.
Mie mama bwana. Huyu Gwajima ni sheeda halafu habahatishi nina wasiwasi ana mashushu wake.Kweli kaka mi nilishangaa mtu mpk mwenyewe anasema "Nikisema nimezaa na Gwajima watu hawezi amini maana mi mti wa chini angezaa na watu waliojuu juu wangetoa kwenye magezeti" nikajiuliza Gwajima huyu huyu Mashine ya kukoboa na kusaga
Jamani mbona mna haraka? ni kesho mashine ya kukoboa na kusaga itakuwa mubashara mawingu si leo.CloudsFm kuna miziki tu labda wanarekebisha mitambo