sosoliso
Platinum Member
- May 6, 2009
- 8,543
- 9,478
Mwambie yule aliezaa na shemiji yake uo upuuzi.Ameenda na cheti cha DNA cha mwanae au?
Kibonde amekuwa mara nyingi akisema Gwajima anakula ganja, sasa je nini msimamo mpya wa Kibonde?
We jamaa umepitiliza . Du.Huyu Gwajima tutawaomba wapenzi wa Arsenal wamkodi kwa muda akawaondolee Bashite wao pale Emirate Stadium..
Na Kitwanga kaingiaSio watatu wa nne, bila kumsahau msukuma acha watwangane kwanza maana wamezidi unafiki
Nyakati zinabadilika. Kibatala anapenda kukumbusha: walivyowasomba jews nilinyamaza kwa vile sikuwa Jew, etc etc na mwisho walivyokuja kunifata mimi ndio nilipogundua kuwa hamna mtetezi, wenzangu wote walishachukuliwa.Mbona Jamii Forums,waliingiliwa na bunduki na vitendea kazi kuchukuliwa na wamiliki kutupwa selo,hatukumuona NAPE,MENGI wala GWAJIMA kwenda kuwapa pole
Ndallo kikwetu ni mabaki ya chakulaNjeeseka kikwetu ni mtoto wa mitaani ambaye haijui familia yake!
Thats a perfect thinking...Mbona Jamii Forums,waliingiliwa na bunduki na vitendea kazi kuchukuliwa na wamiliki kutupwa selo,hatukumuona NAPE,MENGI wala GWAJIMA kwenda kuwapa pole
Kwani ndio unajua leo? Shilawadu si ndiyo kipindi pendwa cha president? Acha unyumbu huoClouds ni tv/ redio ya ushilawadu, wanapata pesa nyingi kupitia ushilawadu wa bifu za wasanii, watawamaxize hawa watu mpaka supu ya mifupa iishe.
Kazi ipi hiyo?! Ile ya kuvamia studio za clous na askari kwa ajili ya kufatilia habari za udakuCheti kanajionyesha kwenye kazi yake. Sisi tunachotak ni vipimo vya DNA halafu asianze kujizimisha hapa. Tena tunataka vipimo Mubashara ha ha ha!