Waziri Gwajima okoa hawa watoto wanaharibiwa

Sipendi hii tabia ya kuwachukua watoto wadogo na kuwapeleka kwenye shughuri za uswazi, km vigoma vya uruguwai, na shengesha zingine.

Km kuharibika aharibike mwenyewe ukubwani na kwa matakwa yake binafsi, sio kuwaandaa mapema hivi kuharibika, huyu mtoto ni mdogo na anapaswa awe shule azingatie ndoto zake za baadae.

Mamlaka husika ichukue sheria na ifate mkondo wake.
 
Dada kuna mtu amekupenda kaweka uzi umeuona 😂
 
Kuna mahali kama wazazi tunayumba kwenye suala la malezi

Hivi ni ubusy wa kazi ama kususa tu familia hadi mambo kujiendea kwa style hiyo

Wanaume wenzangu, jukumu la malezi ya watoto/mtoto ni jukumu letu pia, tusiwaachie Mama zao pekee

Na kama umetengana na mkeo/mzazi mwenzio ni vyema kufanya ufuatiliaji wa karibu wa malezi ya huyo mtoto/watoto wako

Kwenye case hapo juu, Kuna dalili huyo mtoto akawa wameshamuharibu 🙌
 
Sipendi hii tabia ya kuwachukua watoto wadogo na kuwapeleka kwenye shughuri za uswazi, km vigoma vya uruguwai, na shengesha zingine.

Km kuharibika aharibike mwenyewe ukubwani na kwa matakwa yake binafsi, sio kuwaandaa mapema hivi kuharibika, huyu mtoto ni mdogo na anapaswa awe shule azingatie ndoto zake za baadae.

Mamlaka husika ichukue sheria na ifate mkondo wake.
Hili ni suala mtambuka tusiiachie wizara peke yake. Naamini shughuli zote za kijamii mitaani ziko chini ya KatibuKata/ Mtendaji. Wanapaswa kuweka DISCLAINER kuhusu watoto wanapotoa hivyo vibali
 
Naunga mkono hoja.
 
Walahi kabla hakajaanza kuongea nilijua ni ka pisi kuna pisi Fulani zinavaa ki tomboy zimenyoa huwa type zangu
 
Hayo mambo ya chumbani watoto wanayajuaje?

Zamani ilikuwa mkitaka kuonjana na wife, ilikuwa watoto wanaambiwa wakacheze mbali na wakati mwingine wazazi mnawasha redio mkulima yenu ili watoto wasisikie ya chumbani

Wazazi wa miaka hii kuna mahali wanafeli
Sasa kuna na hizo ngoma, wanaita vigodoro sijui. Wtt nao wanakuwepo, kina mama wanasasambua na wtt wapo. Na inaonekana kuna na mengineyo yanafanyika wtt nayo pia wanayaona. Uchafu mtupu na laana
 
Hizi mambo zipo sana huku Pwani, siku ikitokea bahati mbaya nimezaa mtoto na mwanamke wa Pwani, mtoto akifika miaka 3 tu namtoa kwa Mama yake

Wamama wengi wa Pwani suala la malezi kwao sio kipaumbele kabisa, Wanacheza vigodoro na hizo ngoma zao bila soni mbele za watoto wako bila kujali athari
 
Walahi kabla hakajaanza kuongea nilijua ni ka pisi kuna pisi Fulani zinavaa ki tomboy zimenyoa huwa type zangu
Haya mambo iko siku mtakuja geuzwa wenyewe mkachezea kifiro
 
Back
Top Bottom