Gwajima ndani ya studio za Clouds

Gwajima ndani ya studio za Clouds

Pia tunataka angalau afanye maombi ya kinafki ya kumwombea rais ka alivyofanya wiki iliyopita.
 
Huyu Gwajima tutawaomba wapenzi wa Arsenal wamkodi kwa muda akawaondolee Bashite wao pale Emirate Stadium..
Sosolisooooo!! 😀😀😀😀😀 kweli Good Idea amuandame Wenger weeeee mpaka aamue kuachia ngazi mwenyewe!
 
nchi inakosa mwelekeo na kujengwa chuki katika jamii sababu ya wasukuma wawili tu
Ndivyo walivyo hawa jamaa tukiwaachia nchi tutajutia saana kama hivi wala hakuna kuwajibishana kwasababu za "hom boy wangu huyu"
 
Sasa anaogopa nini kwenda na cha mwanae! Atuhakikishie tu waumini wake kuwa yeye ni msafi na hasemi uongo kama anavyotufundisha!
Kama humwamini kanisa ni moja?amekufunga kwa kamba ?
 
Apigweeeeeeeeeee! Nilichojifunza kamwe usimchokoze baba mwenye familia yake kama hajakuchokoza make moto huu sijui unachochewa na nini? Bashiteeee Sasa kabaki na baba yake tu na vijimwanamke flani hivi vupo humu kwenye platform vunajikomba komba! Make wagumu wote sasa washamkataa rasmi Bashite.
 
Kibonde amekuwa mara nyingi akisema Gwajima anakula ganja, sasa je nini msimamo mpya wa Kibonde?
 
Nimempenda sana Gwajima he knows how to play with game! Makonda ahamie Radio Uhuru sasa au TBC1
 
Back
Top Bottom