RealTzboy
Senior Member
- Jan 3, 2017
- 158
- 201
Watu wakisubilia kwa hamu kukutana kwa Shilawadu na Gwajima baada ya ile video iliyotengenezwa kwa shinikizo la Paul Makonda kumchafua Askofu Gwajima aliyelikomalia swala la Daudi Bashite.
Ila Gwajima ametembelea Clouds media kuwapa pole kwa uvamizi uliotokea hivi karibuni.
Askofu Josephat Gwajima ameendelea kutema cheche kwa siku ya leo wakati alipotembelea kituo cha Clouds ..
Akiwa Clouds askofu Gwajima ameendelea kudai kuwa elimu ya Daudi Albert Bashite ina mambo mengi sana na mazito ambayo akiyataja zaidi nchi itatikisika.
Amesisitiza kuendelea kudai kuwa mkuu wa mkoa wa Dar Es Salaam,Paul Makonda hana vyeti halisi na kumtaka avitoe hadharani vyeti vyake kama anavyo.
Gwajima alikwenda kituo cha Clouds kutoa pole baada ya tukio la mkuu wa mkoa Dar es Salaam kuvamia kituo hicho usiku akiwa na watu wenye sirahaa za moto ...
Gwajima amesemea siku ya jumapili kupitia kanisani kwakwe atandelea kutoa ufafanuzi zaidi juu ya tukio hilo
Toa maoni yako mdau.