Gwajima is a whistle blower

Huyu jamaa ni Dini gani,,kwikwikwi,naona kavaaa kanzu ya msikitini,ili iweje,dini ni imani, Au tuseme Bashite alidang'anya watanzania dini yake ya ukweli..

Au Bashite anaamini kuwa dini ya kiislam dini ya majini kama wanavyoamini wengine,Au tuseme hawa masheikh wanamzuga tu huyu jamaa

Au tuseme hawa masheikh hawajui nini wanafanya au labda wanajua lakini njaa zimeweshika......Mungu sio wakuchezewa haitapita muda utaona vipi Bashite na hawa Masheikh watakavyo adhirika...
 
Mwambieni huwezi kutumikia mabwana wawili kwa wakati mmoja, Adhana uwe msikitini na kengele zikilia uite Bwana Yesu.
Akimaliza kuombewa mwambieni tunahitaji vyeti vyake na mwambieni tutapaza sauti mpaka siku Jpm aone haya kusimama mbele yetu kuendelea kutudanganya.
 
Gwajima ni mad dog akamatwe tu......hana faida kwangu labda wa wafuasi wake
Mkamateni tu haina shida ila cha moto mtakipata na kamasi atawatoa,muulize dokta mihogo pamoja na ccm kumrubuni bado ilibidi atimke.Bashite ni suala la muda tu na sasa ndio rasmi tumeanza ila wanaita count down.
 
Gwajima siyo whistle blower wewe kwa maana halisi ya whistle blower. huyu ana roho ya kisasi. mtumishi gani wa mungu mwenyewe ana maneno machafu amejaa kiburi majigambo na kisasa. makonda ametaja watu wengi kutoka uchunguzi wa kiserikali akiwa rc. kwanini gwajima anafiri yeye ni special. kwanza amuombe radhi kadinali pengo kwa kumtukana na kumtolea maneno ya kifedhulin
 
tunataka vyeti vya bashite hiyo laana ya gwajima ila sisi tunataka vyeti vya bashite
Karibu JF mkuu, naona pesa za ngada zimemwaga sana mtaani na watu wengi wamejiunga JF haya endeleeni kuzitumia hizo oesa haramu.
 
Kwa hiyo huo ndo ushahidi kwamba Makonda ana vyeti feki?

Like seriously...?

Jirani, jina la ukoo wako ikiwemo wazazi wako wakiitwa ngabu, classmates walikujua kama ngabu, wewe from nowhere ukubwani umekuwa massawe jina la ukoo, itabidi tukuulize umetokea wapi kwenye ukoo wa ngabu au massawe. That's Daudi Bashite thang! The question is, as much as anapenda media, why don't he clear the air out kama previous viongozi waliokuwa accused? Jirani hata Obama finally alionyesha birth certificate after a looong time accusation,
Whats holding this bashite zero guy? He just another clown caught on a tight corner.
 
Asante mkuu kwa kuisummerise hii kama ilivyo kwa just few lines.
 
Kwa hiyo huo ndo ushahidi kwamba Makonda ana vyeti feki?

Like seriously...?

Asante mkuu kwa kuisummerise hii kama ilivyo kwa just few lines.


And jirani, hata kama anaeza kuwa kabadilisha jina legally(which i doubt kwa akili zake ndogo) how much ina cost kueleza hilo kama Mwigulu Nchemba alivyotoa maelezo kuhusu majina kubadilika? Huyu ni kiongozi hana choice sometimes when it comes to issues lazima asimame ku satisfy watu wake. Sasa jamaa si kazi hajui kazi kutoa matamko ya kijinga kila asubuhi mchana jioni usiku alfajiri, elimu ndo vile tena, majina ni mvurugano, mpenda media huyu kwikwi imetoka wapi? I smell fishy
 
And then he has the guts to tell us even with div 0, he could still have been RC.
 
Okay, fair point.

Ila kwani, baba yake anaitwa nani?

Makonda au Bashite?
 
na
huyu bwana alivyokuwa anatangaza watu kwenye ma tv bila ushahidi ili kuwa sawa? what goes around comes around. Period!
 
Still, bado hakuna ushahidi unaothibitisha hayo madai.

Hicho ulichokielezea wewe hapo ni mazingira tu yanayozua maswali pamoja na kuleta mashaka.

Au labda mimi nipo out of the loop na nyie wengine huenda mnajua zaidi yangu...hivyo swali kwako: ukiondoa hayo mazingira yanayokufanya udhani kuna jambo anaficha, umeona ushahidi gani mwingine ambao unahitimisha na kufunga kabisa huu mjadala?

Umekiona cheti chake cha kuzaliwa? Umeona kadi yake ya kliniki? Umeona nyaraka gani ambayo hai-reconcile na nyaraka zingine?
Umeona cheti cha kuzaliwa cha baba yake? Umeona hati ya ndoa ya wazazi wake ambayo majina yake haya comport na jina atumialo sasa?
 
Ma-DED kwa mujibu wa sheria wanatakiwa kuwa watumishi wa umma sasa walioteua wanasiasa hawakuwa wakijua kwamba hilo si sahihi? Sema wametanguliza uccm mbele badala ya utaifa.
 
Angeenda kulisema hilo kwa nani wakati kama ni polisi hata sirro hawezi kumshika na kumuweka ndani bashite?
 

Na ndio point iliko hapo anako takiwa ku clear.
Primary kasoma na waliomjua kama Daudi bashite, secondary alikuwa na classmates waliomjua kama Daudi Bashite, chuo akawa Paul Makonda, wazazi wake walihojiwa kwenye tv na zamaradi wakidai Makonda ilaa, ukiishi kijijini wanakojuana watu wote unamdanganya nani jina? Na kama wamebadilisha jina kisheria watakuwa na documents, simply onyesha maliza kesi.
That's why he needs kuwanyamazisha watu kwa kuleta proof ya jina Paul toka utotoni, ingawa anaeza kufoji vile vile na watu wakaufyata. It needs to be fair kama watumishi wa uma kimya kimya walihakikiwa na wengine wakakutwa na majina feki wakafukuzwa, why Makonda asihakikiwe na hizi kashfa zilizo kila mahali?
 

Ok, fair enough.

Ila unajua kuwa Gwajima naye alidai kuwa anao ushahidi wa kuwa Paul Makonda anaitwa Daudi Bashite?

Sasa vipi na Gwajima naye...atuonyeshe huo ushahidi anaodai anao au yeye tumpe pass?

Manake kasema anao lakini hajatuonyesha...sasa what if kama anatudanganya tu?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…