Gwajima is a whistle blower

Wewe sijui nitumie neno gani? Nani kakuambia nina shida ya Udc? Gwajima alitakiwa alijue hili kuwa kule kupimwa na kupekulkwa ni muendelezo tu wa yeye kuwa katika rada.

Na washawasha!
ENDELEA KUWASHWA ZYAMPUNGA WEWE
 
Ktaika amri kumi za MUNGU kuna amri inakataza kusema UONGO..na dhambi ya kudanganya unaaza kupewa hapa DUNIANI..hii ndiyo inayompata Daudi sasa hivi hata sura yake imepoteza nuru amepwaya sana na atachomwa tu maana hakuna namna sasa
 
Zungusha shungusha zungusha zungusha kolomije
 
nafikiria bwana yule ataombaje kura 2020, mana mpaka sasa sijui katimiza lipi zaidi ya majungu, kajeli, dharau, kiburi na majivuno kwa wananchi wake
Kampeini zilizohakisi uhalisia wa vyama vingi ni zile za jimbo la Temeke kati ya ('mzawa')-Cisco na ('wakuja')-Mrema Lyatonga. Soon tutashudia kapeini ambazo zitatoa picha ya 2020 hapo mujini Longido.
Najiuliza mengi tu, sijui itakuwaje:
...je, mikutano ya kisiasa itapigwa marufuku!?
...na ikipigwa marufuku itakuwa kwa vyama vyote pamoja na mafisi?
Kwa vyovyote vile patakuwa patamu na sio ajabu Mahakama ya Rufaa ikalazimika kutoa 'hukumu' nyingine!
 
Huyu atakuwa kituko kimoja wapo Tanzania .katika historia nchini !!!
 
Kumbe umeliona hilo comrade wng....
Ukweli hua una kanuni zake za asili
1.Huwa unajidhihirisha bila kujari umesemwa na nani
2.Hauna mkubwa au mdogo
3.Hauna mipaka
4.Huwa hauzikwi, ukiuzika leo unafufuka kesho
5.usipo ukili utakunyonga hadi kaburini
nawasikitikia wanaohangaika na kuficha ukweli utajidhihirisha tu kwa wakati wake
 
Ukihis unakosa na polisi usionekane hovyo siku ya ijumaa... nimewaibia siri maana ukikamatwa ijumaa kutaka au kupelekwa mahakamani ni mpaka jumatatu au jumanne ili upeww dhamana. Hivyo basi jifiche sana siku ya ijumaaa hawa jamaa wanapenda kukamata siku ya ijumaa..makalio yao wote wanao watuma ...hadi yulee palee juu.
 
.

24 Nao waliposikia, wakampazia Mungu sauti zao kwa moyo mmoja, wakisema, Mola, wewe ndiwe Mungu, ndiwe uliyefanya mbingu na nchi na bahari na vitu vyote vilivyomo;

25 nawe ulinena kwa Roho Mtakatifu kwa kinywa cha babaetu Daudi, mtumishi wako,Mbona mataifa wamefanya ghasia,Na makabila wametafakari ubatili?

26 Wafalme wa dunia wamejipanga,Na wakuu wamefanya shauri pamojaJuu ya Bwana na juu ya Kristo wake.

27 Maana ni kweli, Herode na Pontio Pilato pamoja na Mataifa na watu wa Israeli, walikusanyika katika mji huu juu ya Mtumishi wako mtakatifu Yesu, uliyemtia mafuta,

28 ili wafanye yote ambayo mkono wako na mashauri yako yamekusudia tangu zamani yatokee.

29 Basi sasa, Bwana, yaangalie matisho yao; ukawajalie watumwa wako kunena neno lako kwa ujasiri wote,

30 ukinyosha mkono wako kuponya; ishara na maajabu vifanyike kwa jina la Mtumishi wako mtakatifu Yesu.

31 Hata walipokwisha kumwomba Mungu, mahali pale walipokusanyika pakatikiswa, wote wakajaa Roho Mtakatifu, wakanena neno la Mungu kwa ujasiri.
.
WAAMINI KWA NIA MOJA MUITENI MUNGU JUU YA DHULMA HII YA WATAWALA DHINI YA KANISA.
MAANA MTU YULE ALIYEWASINGIZIA DAWA ZA KULEVYA WATUMISHI KULICHAFUA KANISA ,NDIE SASA ROHO MBAYA KAMA ILIYOMWINGIA YUDA ISIKARIOTE DHIDI YA YESU, IMEMWINGIA NA IMEMTUMA KUKIJAZILIZA KIKOMBE CHA UOVU WAKE.
 
Kwani kosa la Gwajima ni lip?
 
Yupo serious sana hapo nahic mtume alimshukia akasemezana nae kwa lugha...leo kakumbuka kuvaa kiustadhi ..hajavaa viatu katinga sendo

Ana akili sana Bashite! ameamua kutafuta maombezi kwa wale ambao elimu ya vyeti sio suala la msingi kwao.
 
Ni kweli kabisa mkuu, kuhusu hivi vyeti lisemwalo lipo.


Ukweli kuhusu askofu kuwa aliwahi kutuhumiwa hautafutwa na suala la vyeti kamwe, hili ndilo nyie na askofu mnatakiwa mlitambue. Ni lisemalo kwenu na lisema na upande wa pili ukweli kuhusu vyeti hauta fichwa na tuhuma kwa askofu. Mwisho wa siku ukweli uta simama tu. Yaani ukweli utatenda haki kwa pande hizi zinazo kinzana.


Na washawasha!
 
Hata askofu akipatikana na hatia yawekwe wazi lakini na maswala ya vyeti pia yasifunikwe. Hakuna binadamu aliekamilika lakini ni ustaarabu kukubali kosa.
 
naona njia aliyo tumia makonda ndo hiyo anayo itumia gwajima.
 
Baba bashite anazunguka na ziara zake tu, elimu ya mwanae haimuhusu, mawaziri wote wa elimu kimyaaaa...hakuna aliyejitokeza kutoa ufafanuzi..maajizo kutoka juu ni kumkamata Gwajima...hakika elimu ya bashite inatia mashaka sanaa
Bashite anajipa moja kuwa baba yake atamlinda, ngoja tuone
 
Hata askofu akipatikana na hatia yawekwe wazi lakini na maswala ya vyeti pia yasifunikwe. Hakuna binadamu aliekamilika lakini ni ustaarabu kukubali kosa.


Nani anaye kudanganya kuwa masuala ya vyeti yanafunikwa kama yaba chembe ya ukweli ndani yake?


Na washawasha!
 
Line 1 : Bashite....

Line 2 : Kolomije....


Line 1: Umeona post ya Sky Eclat?


Line 2 : Nimeona, na abarikiwe sana.... (Gwajima).




KADA
 
Hata yeye aliiba mke wa mtu na mwenye mke aka-blow whistle hatukumpa umakini huu tunaompa yeye kwenye vyeti vya bwana Bashite, anyway mnyonge ni mnyonge tu. Ila bwana Bashite ni kweli kafoji vyeti kabla sijasahau na hana la kujitetea.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…