Gwajima is a whistle blower

Bashite anajaribu kurusha miguu lakini hatumuachi tuko naye sambamba mwanzo mwisho
 
Vipi kwaya ya ufufuo ilikwenda kutumbuiza kituo cha polisi? Au kauli ya mkuu inafanya kazi.....weka nao ndani wakaimbie hukohuko.. Mkuu hataki ujinga
 
We jamaa nawe umeshakuwa kama pasko mayala.. kaa pembeni usubiri mwisho wa hili swala
Me and Pasco could not be more disparate than we already are!

Distractions aside, where's the hard evidence?

Please show me...please...please...
 
...hili la kumkumbatia viongozi wenye vyeti feki linatengeneza precedent mbaya sana kwenye utawala huu dhalimu...maana sasa hivi wako bize kukandamiza haki za watumishi kwa kigezo hichohicho cha vyeti feki...sasa watatokaje kwenye hili la bashite Daudi?
 
Huyu mchungaji naye haeleweki kabisa,
Gharama zote hizo za nini kuwatoa watu kijijini mpaka Dar, au wao watasema kitu tofauti na alichokisema yeye..?
Si alisema ana vyeti vyake kwa nini asivitoe tu vyeti tuvione kuliko kutuletea maneno maneno.
Wakati mwingine nawafikiria sana kondoo wake naona kuna sehemu wana mapungufu.
#Toa_vyeti mchezo uishe
 
Bashite atamshikilia gwiji Gwajima hadi lini?
NBashite anajaribu kizima moto kwa petroli
 
Baba bashite anazunguka na ziara zake tu, elimu ya mwanae haimuhusu, mawaziri wote wa elimu kimyaaaa...hakuna aliyejitokeza kutoa ufafanuzi..maajizo kutoka juu ni kumkamata Gwajima...hakika elimu ya bashite inatia mashaka sanaa
Issue ya cheti haiwezi kuzuia mambo mengine yasiendelee kufanyika.
 
Hawa viongozi wa dini nao wanapelekwa pelekwa kweli na Davido.Au kwa kuwa misikiti na makanisa yao yapo kwenye mkoa wake?
 
Me and Pasco could not be more disparate that we already are!

Distractions aside, where's the hard evidence?

Please show me...please...please...

You have no expertise in recognising the legal evidence, so dont ask for it, or if you can use your brain to atleast 0.5 percent of its capability then every piece of the puzzle is starting to come on its place beautifully!!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…