Gwajima achukuliwe hatua za kisheria

Gwajima achukuliwe hatua za kisheria

Sasa jitu linadai vyeti humu.hiv wewe mzima kweli?mtafute bashite ndo anayejua ukweli.humu tumeshavurugwa na maisha na wewe utuvuruge..pumbaffff
 
Mjomba be properly informed that kuna taasisi ambazo zipo kisheria zinazohusika na masuala ya kutoe vyetu na kuhakiki vyeti. Pia kama kuna criminal element ktk suala hilo la vyeti kuna investigation machinery(police force) for that purpose. Gwajima hahusika and he is a layman in that field. Anachofanya ni majungu ya kipuuzi na ya kitoto. I have serious doubt on his maturity.
Kama Makonda alifanya kazi ya polisi, acha na Gwajima afanye kazi ya polisi
 
Hata huyu aliyetamka watu hadharani bila ushahidi akamatwe haraka. Maana pia ameharibu brand za watu.Hata Nape analijua hili.
Aoneshe vyeti na aende ktk kamati ya maadili ya bunge.
Cheti cha form four atuoneshe chenye majina yake ya ukweli.
 
Msajili wa taasisi(The Registrar of Societies) ana wajibu wa kuchukua hatua dhidi ya taasisi ambayo imeacha kutekeleza malengo ya kusajiliwa kwake, na kujivika joho la jukwaa la kisiasa na la uchochezi. The Regisrar aforementioned must take actions against such breach of terms of registration. Kila jumapili mahubiri ni Makonda Makonda, Why? Gwajima anatakiwa kuwahubiri watu wake NENO la Mungu, siyo majina ya watu. Furthermore, the police force must take action against such offender who always preach VIOLENCE. Uchochezi ni kosa la jinai. Kuhubiri kila siku majina ya watu ni uchochezi ambao ukiachwa hivihivi utasababisha uvunjifu wa amani. Ombi:Taasisi husika zitoe stop order kwa Gwajima, asiendelee tena kuhubiri watu ndani ya kanisa na wakati wa ibada. Who is he to be allowed to continue violating the law of the Land?
Mbona thaudhi pashitee kolomije yeye kahubiri na kumuweka ndani
 
hii inashangaza sana, watu wanaamka asubuhi jumapili wakapate neno la Mungu, cha kushangaza mchungaji anamwaga ubuyu tu!
Wale waliombambikia kesi Lengo lao lilikuwa kuwakimbiza waumini wake sasa kaamua kujitetea kwao wajue Ukweli.
 
Ukimwona member mzoefu hajielewi ujue anachumia tumbo,unasikitisha sana
Huna unachojua wewe, kila dakika unabweka kama mbwa, eti vyeti vya Makonda. Mbona hujahoji vyeti vya Hugo muuza mihadarati Mbowe?
 
Msajili wa taasisi(The Registrar of Societies) ana wajibu wa kuchukua hatua dhidi ya taasisi ambayo imeacha kutekeleza malengo ya kusajiliwa kwake, na kujivika joho la jukwaa la kisiasa na la uchochezi. The Regisrar aforementioned must take actions against such breach of terms of registration. Kila jumapili mahubiri ni Makonda Makonda, Why? Gwajima anatakiwa kuwahubiri watu wake NENO la Mungu, siyo majina ya watu. Furthermore, the police force must take action against such offender who always preach VIOLENCE. Uchochezi ni kosa la jinai. Kuhubiri kila siku majina ya watu ni uchochezi ambao ukiachwa hivihivi utasababisha uvunjifu wa amani. Ombi:Taasisi husika zitoe stop order kwa Gwajima, asiendelee tena kuhubiri watu ndani ya kanisa na wakati wa ibada. Who is he to be allowed to continue violating the law of the Land?
Katika sakata la vyeti, Gwajima yuko sahihi. Kwa nini?

1. Mkuu wa nchi kesha tangaza vita na kaomba asaidiwe kuwafichua vishoka wa elimu(vilaza).

2. Baraza la mitihani pia limetangaza kuwataka umma wawafichue waliofoji vyeti vya elimu.

3. Mh. Rais kasema, nani amenyimwa kazi kwa sababu ya elimu? Kwake elimu siyo isue aweza kukupa kazi bila kujali elimu yako.

4. Kumekuwa na uhakiki usiokweisha, na haki za watumishi zimekaliwa kwa mgongo wa uhakiki. Bashite na wengine wa aina yake wanachelewesha uboreshaji wa maslahi ya watumishi.

5. Tayari kuna watu wamestishiwa mikopo kwa sababu ya vyeti feki na vyuo wamesimamishwa.
[emoji117] Tayari kuna watumishi wamefikishwa mahakamani na wamefungwa kwa vyeti feki.

Ili serikali ioneshe inatenda haki kwa wote, ni vema kila anayetuhumiwa kumiliki cheti kisicho chake aidha ajisafishe au mamlaka husika zimsafishe.

Gwajima anachokifanya, anatekeleza matakwa ya Injili. Injili inamtaka anayehubiri kuwaambia wazinzi waache uzinzi, wezi waache wizi, wahujumu uchumi waache, malaya waache ndiyo injili.

Vifungu vipo vingi lkn kwa kuanzia soma Isaya 58:1

92664deb52cc8557a9906250585c0f42.jpg
 
Hata huyu aliyetamka watu hadharani bila ushahidi akamatwe haraka. Maana pia ameharibu brand za watu.Hata Nape analijua hili.
Aoneshe vyeti na aende ktk kamati ya maadili ya bunge.
Cheti cha form four atuoneshe chenye majina yake ya ukweli.
Mleta mada kajitoa fahamu kaamua kumkomalia Gwajma huko akimuacha boss wake Daudi ambaye ni chanzo cha yote yanayoendelea sasa.
 
Mjomba be properly informed that kuna taasisi ambazo zipo kisheria zinazohusika na masuala ya kutoe vyetu na kuhakiki vyeti. Pia kama kuna criminal element ktk suala hilo la vyeti kuna investigation machinery(police force) for that purpose. Gwajima hahusika and he is a layman in that field. Anachofanya ni majungu ya kipuuzi na ya kitoto. I have serious doubt on his maturity.
Siyo majungu, anasema ukweli na mamlaka unazosema zifanye kazi mfano necta, tayari imetoa wito kuwaumbua wanaotumia vyeti visivyo vyao.

Sema tanzania hii ina double standard. Kuna wenye haki zaidi ya Wenzao nchini humu
 
Makonda alikurupuka akaanza chuki za kutaja taja watu hovyo hovyo kwenye Tv nadhani alifikiri watakaa kimya kwa kumuogopa sasa wameamua kujitetea kwa kuanika mapungufu ya makonda mleta mada kaamua kubuni ujinga ujinga akidhani utamsaidia kumziba mdomo Gwajma, ww mleta mada nenda kamkataze makonda aache kuwabambikia watu kesi kabla ya kuwalaumu wanaojitetea kwa Uonevu wa Daud.
Hakuna kesi waliyobambikiwa Gwajima Mvunja ndoa za Watu (F.Mbasha) na Mbowe mmiliki wa mihadarati. Waambie kwanza wajisafishe ndipo ulete hoja ya Makonda ambaye kwa taarifa yako ataendelea kuwa Mkuu wa Mkoa hata kama hutaki.
 
Dawa yake inakwiva na ajue kimya kingi kina mshindo mkubwa asifikiri Serikali imemshindwa
 
Nina mashaka kama masikio yako ni mazima.Ulimsikia vizuri? Kama wewe ulimsikia basi nenda kamwambie kamanda Siro kwamba yupo mtu anatukana madhabahuni ili amkamate
Huna akili ww....mwambie huyo babayako Gwajima akaripoti polisi sio kupiga makelele kama wapiga debe
 
Huyo, Gwajima, ni sawa na ngoma.

Kanuni, ya Ngoma ni hii:-

Ngoma ikivuma sana, ujue imekaribia kupasuka!

Hivyo siku siyo nyingi itasambaratika.
 
Ni ujinga kukaa kusikiliza ujinga ambao na wewe kesho utakufanya na uwe mjinga, hahha hajaona wenzake waliokuwa wanaimba TUNA IMANI NAYE wameishapigwa panga, mpeni taarifa yeye aendelee kuhubiri ujinga wake akifiria kuwa anakomboa kumbe ndiyo anaangamiza.
 
Gwajima ni mtoa taarifa tu na kunashiria ina mlinda kwa hiyo swala sio kumpinga tu vyombo vinavyo husika vichukue hatua kwa kufanya uchunguzi na ikibainika ni kweli hatua zichukuliwe kwani mpaka sasa kuna watu wame poteza ajira zao kwa kashfa kama hiyo hiyo ya makonda. Haiwezekani katika nchi moja wengine waumizwe alafu wengine waendelee kudunda kana kwamba nchi hii huwa inamilikiwa na watu fulani.
 
Back
Top Bottom