Huyu jamaa ameleta uzi wa maana sana!Aliyeanzisha huu uzi nae achukuliwe hatua za kisheria.
Nadhani kwa tahadhari hii, wale wote wanaolia na Bashite wajue kuwa siku zao zinahesabika!
kinachosemwa kuwa kusimamisha mahubiri na kuanza kupambana na mtu kwa kutumia jina la taasisi kunaweza kumgharimu askofu!
kuna vitu unaweza usipende kuvisikia lakini kwa hili lililoporomoshwa hapa ni la kujiandaa nalo!
kwa kutumia similar platform miaka kadhaa askofu aliingia utata na kiongozi mwenzie wa kiroho na ikasemekana kuwa ametumia vibaya jukwaa lake!
kulikoni kumzogoa mleta uzi ni vema mngemuomba kiongozi wenu ajitazame upya!