Gwajima achukuliwe hatua za kisheria

Gwajima achukuliwe hatua za kisheria

Mimi kama mwanasheria nashangaa sana kuona Gwajima na taasisi yake haguswi na vyombo vya dola wakati yeye na taasisi yake wanavunja sheria za nchi. Hiyo taasisi ifutwe.Gwajima akamatwe. Laws must be enforced without discrimination.
Don you know the role of the church in the society?
Kazi ya kanisa ni kukemea matendo maovu, unyanyasaji na Thuluma in the society.
Jamaa yako alivyo watuhumu akina gwajima kwamba wana deal na drug kwa njia moja au nyingine tena kwenye media unazania wao walifurai? Who gave him that moral authority to mention those names Bila kuwa na ushahidi beyond reasoning doubt.
Kwa nini asinge forward those names to the authority ili uchunguzi ufanyike?
 
Msajili wa taasisi(The Registrar of Societies) ana wajibu wa kuchukua hatua dhidi ya taasisi ambayo imeacha kutekeleza malengo ya kusajiliwa kwake, na kujivika joho la jukwaa la kisiasa na la uchochezi. The Regisrar aforementioned must take actions against such breach of terms of registration. Kila jumapili mahubiri ni Makonda Makonda, Why? Gwajima anatakiwa kuwahubiri watu wake NENO la Mungu, siyo majina ya watu. Furthermore, the police force must take action against such offender who always preach VIOLENCE. Uchochezi ni kosa la jinai. Kuhubiri kila siku majina ya watu ni uchochezi ambao ukiachwa hivihivi utasababisha uvunjifu wa amani. Ombi:Taasisi husika zitoe stop order kwa Gwajima, asiendelee tena kuhubiri watu ndani ya kanisa na wakati wa ibada. Who is he to be allowed to continue violating the law of the Land?
Wacha kulia toeni vyeti!
 
Haka kajamaa kanadangaywa na KUBANIA anaenda kukusanya udaku mitaani huko anaandika kwenye kajarida chake jamaa ndio anasoma kanisani na kufanya ndio ibada yake. Kumbe baada ya huyo KUBANIA kusali kanisani kwake ndio anapeleka hayo makaratasi ya uchochezi na jamaa alivyo na akili fupi anayasoma kanisani MUTATIS MUTANDIS, Mtu anawatetea woote eti hata waliokutwa na kiasi kikubwa cha madawa kwenye damu zao? Huyu jamaa anamahusiano gani na hao watumiaji mbona amebadilika kuwa wakili wao?
 
Msajili wa taasisi(The Registrar of Societies) ana wajibu wa kuchukua hatua dhidi ya taasisi ambayo imeacha kutekeleza malengo ya kusajiliwa kwake, na kujivika joho la jukwaa la kisiasa na la uchochezi. The Regisrar aforementioned must take actions against such breach of terms of registration. Kila jumapili mahubiri ni Makonda Makonda, Why? Gwajima anatakiwa kuwahubiri watu wake NENO la Mungu, siyo majina ya watu. Furthermore, the police force must take action against such offender who always preach VIOLENCE. Uchochezi ni kosa la jinai. Kuhubiri kila siku majina ya watu ni uchochezi ambao ukiachwa hivihivi utasababisha uvunjifu wa amani. Ombi:Taasisi husika zitoe stop order kwa Gwajima, asiendelee tena kuhubiri watu ndani ya kanisa na wakati wa ibada. Who is he to be allowed to continue violating the law of the Land?
Kesi ikifunguliwa kwa msingi wa maelezo hayo, akina Kibatala Watashangilia tena ubwagaji!
 
Msajili wa taasisi(The Registrar of Societies) ana wajibu wa kuchukua hatua dhidi ya taasisi ambayo imeacha kutekeleza malengo ya kusajiliwa kwake, na kujivika joho la jukwaa la kisiasa na la uchochezi. The Regisrar aforementioned must take actions against such breach of terms of registration. Kila jumapili mahubiri ni Makonda Makonda, Why? Gwajima anatakiwa kuwahubiri watu wake NENO la Mungu, siyo majina ya watu. Furthermore, the police force must take action against such offender who always preach VIOLENCE. Uchochezi ni kosa la jinai. Kuhubiri kila siku majina ya watu ni uchochezi ambao ukiachwa hivihivi utasababisha uvunjifu wa amani. Ombi:Taasisi husika zitoe stop order kwa Gwajima, asiendelee tena kuhubiri watu ndani ya kanisa na wakati wa ibada. Who is he to be allowed to continue violating the law of the Land?
Gwajima alichafuliwa na kudhalilishwa mbele ya vyombo vya habari na kufanya hasiaminiwe na taasisi aliyoijenga muda mrefu. Anachokifanya sasa ni kujisafisha kwa taasisi anayoiongoza dhidi ya tuuma za uwongo
Kwa maelezo yako:
Hili mch gwajima haache kujisafisha ni vyema aliyemchafua ajitokeze na kumsafisha kwa kusema tamko lake dhidi ya mchungaji gwajima ni uwongo au lilikuwa na makosa
 
Sehemu kama zile huwa azingiliwi kabisa kwa dini zote.
Ukiingilia pale basi hamna maana ya kuenda kusikiliza mawaidha hayo kwani mawaidha hayo niya serikali ama mtu asie na mapokeo ya mahubiri kutoka kwa Mungu. Kwaio uhuru wa kuabudu utakua umefutwa pia jambo hilo serikali ikiingilia itazua jambo baya zaidi ya hili lililopo saizi.
Huyu Mtume angeongelea kwenye vyombo vya habari ingekua mbaya ila pale ni kujimwaga ila asivunje sheria.
Kusema ukweli sio kuvunja sheria lengo lake yeye ni sheria ifuate mkondo wake tu je ilo ni baya?
Cheo chake ama nafasi yake hakua na shida nayo ila vyeti na kumdanganya raisi maana ndie alie muapisha.
Lingine hata wewe ukiwa na dhamana kubwa haimaanishi wewe uwadharau wengine ama kujifananisha na Mungu.
 
Mimi kama mwanasheria nashangaa sana kuona Gwajima na taasisi yake haguswi na vyombo vya dola wakati yeye na taasisi yake wanavunja sheria za nchi. Hiyo taasisi ifutwe.Gwajima akamatwe. Laws must be enforced without discrimination.
Akamatwe kwa kuongea ukweli au kwakosa lipi
Msajili wa taasisi(The Registrar of Societies) ana wajibu wa kuchukua hatua dhidi ya taasisi ambayo imeacha kutekeleza malengo ya kusajiliwa kwake, na kujivika joho la jukwaa la kisiasa na la uchochezi. The Regisrar aforementioned must take actions against such breach of terms of registration. Kila jumapili mahubiri ni Makonda Makonda, Why? Gwajima anatakiwa kuwahubiri watu wake NENO la Mungu, siyo majina ya watu. Furthermore, the police force must take action against such offender who always preach VIOLENCE. Uchochezi ni kosa la jinai. Kuhubiri kila siku majina ya watu ni uchochezi ambao ukiachwa hivihivi utasababisha uvunjifu wa amani. Ombi:Taasisi husika zitoe stop order kwa Gwajima, asiendelee tena kuhubiri watu ndani ya kanisa na wakati wa ibada. Who is he to be allowed to continue violating the law of the Land?
 
Gwajima kawachota walio wajinga tu.
Kweli kabisa ila kuukata mzizi wa fitna na majungu na uzandiki sijui kijicho aweke vyeti tu wabaya waumbuke manake wahenga walisema ukimnenea mwenzio uwongo malipo ni hapa hapa duniani wamemdhihaki sana kijana wa watu japo moyo sio chuma mambo mwengine yauma ajiwekee vyeti tu kiroho safi
 
Nani aweke vyeti? Gwajima?
 
Kweli angelikuwa na akili badala ya kupiga kelele madhabahuni angelikwenda polisi kufungua jalada la uchunguzi......yy amejifanyiza kuwa mpelelezi prosecutor na pia kuwa hakimu..thats stupid
Malengo makuu kwajinsi nilivyo msikiliza. 1.aombe toba
2. Amuombe msamaha raisi
3. Awaombe msamaha alio waumiza.
 
Aliyesema anavyo vyeti ofisini kwake ni Gwajima...
Hapa ndipo napoona umuhimu wa Trump kuona Afrika inahitaji kutawaliwa tena yaani kuna watu na viatu halafu viumbe waziito kama gunia la mawe wallah aliyetuloga bado yupo tumtafute ulaya huwezi kutana na haya makitu
 
Wewe kuona umuhimu wa jambo ambalo halipo ni janga tosha kabisa.

Jinga is as jinga does.
 
Mimi kama mwanasheria nashangaa sana kuona Gwajima na taasisi yake haguswi na vyombo vya dola wakati yeye na taasisi yake wanavunja sheria za nchi. Hiyo taasisi ifutwe.Gwajima akamatwe. Laws must be enforced without discrimination.
We utakuwa Metusela Gwajima
 
Back
Top Bottom