Gwajima achukuliwe hatua za kisheria

Gwajima achukuliwe hatua za kisheria

Mimi kama mwanasheria nashangaa sana kuona Gwajima na taasisi yake haguswi na vyombo vya dola wakati yeye na taasisi yake wanavunja sheria za nchi. Hiyo taasisi ifutwe.Gwajima akamatwe. Laws must be enforced without discrimination.
Nadhani hujawahi kushinda case kama wewe ni mwanasheria!!
 
Na bashite nae achukuliwe hatua kwa kumtuhumu Gwajima bila kuwa na ushahidi wa madawa anayouza Gwajima au kutumia.kwakua aliyeanza uchokozi ni bashite.ss Gwajima hamchokozi ila ananyoosha maneno,ambayo ccm inashindwa kuyanyoosha sababu ya kupatwa kigugumizi,cha kuteu mteule,feki kuanzia sura hadi akili ! Kwanini mnavutia upande mmoja tu? Kueni wakweli na waona aibu,japo kwa mcmu tu,hata km co cku zote.kazi ya kiongozi wa dini ni kufichua maovu na kuyakemea.hilo la bashite ccm hawaoni km ni ovu,ila Gwajima kusema ukweli ndo wanaona ni uovu.nendeni shule mpate vyeti co kupeana madaraka,kinyemela alafu mnaleta casa za uyoga hapa ebo !
 
Angekua shaikh yule saa hizi tungekwisha msahau ila kwakua ni Gwajima muache makonda Alie maana hana cha kumfanya. Yule jamaa sijui yani ila mimi ingekua ndio makonda aaaaghh zamani angekutwa mabwepande keshangolewa kucha.....
 
Msajili wa taasisi(The Registrar of Societies) ana wajibu wa kuchukua hatua dhidi ya taasisi ambayo imeacha kutekeleza malengo ya kusajiliwa kwake, na kujivika joho la jukwaa la kisiasa na la uchochezi. The Regisrar aforementioned must take actions against such breach of terms of registration. Kila jumapili mahubiri ni Makonda Makonda, Why? Gwajima anatakiwa kuwahubiri watu wake NENO la Mungu, siyo majina ya watu. Furthermore, the police force must take action against such offender who always preach VIOLENCE. Uchochezi ni kosa la jinai. Kuhubiri kila siku majina ya watu ni uchochezi ambao ukiachwa hivihivi utasababisha uvunjifu wa amani. Ombi:Taasisi husika zitoe stop order kwa Gwajima, asiendelee tena kuhubiri watu ndani ya kanisa na wakati wa ibada. Who is he to be allowed to continue violating the law of the Land?
Wezi wa vyeti muwe wavumilivu kidogo
 
Gwajima amesema mkimchokoza tu wiki hii anaendelea na tuko wengi ambao tuko tayari kuchanga shilingi 1,000 kila mtu kwa kesi yeyote itakayo mkabili.
Na kesi yake ya kupora mke wa watu imeishia wapi ?
 
hakuna sheria inayoweza kuchukuliwa dhidi ya mtu anaye sema ukweli, hata huo uchochezi hauwezi kuwa uchochezi kama mtu atathibitisha kuwa anachoongea ni cha kweli, polisi wanajua hilo pia wamechoka na kesi zinazoishia kuwapa umaarufu watu na kuwaacha wao na aibu
 
Yupo mtu mkubwa sana anaendelea kuzi-"violate" kila siku, nasi tunampongeza na kumwimbia mapambio na kumwombea.
Sioni cha ajabu mtu mwingine aki-"violate" sheria za nchi maana kwa mifano watu wanajifunza.
iam sure polisi wanafahamu kitendo cha kumkamata gwajima ni kumdhoofisha makonda maana gwajima akifika mahakamani ata mwaga kila kitu na mahakaman hakuna siri, huyo makonda ataitwa na ataulizwa maswali yatamshinda
 
Mimi kama mwanasheria nashangaa sana kuona Gwajima na taasisi yake haguswi na vyombo vya dola wakati yeye na taasisi yake wanavunja sheria za nchi. Hiyo taasisi ifutwe.Gwajima akamatwe. Laws must be enforced without discrimination.
which law are you referring to?
 
iam sure polisi wanafahamu kitendo cha kumkamata gwajima ni kumdhoofisha makonda maana gwajima akifika mahakamani ata mwaga kila kitu na mahakaman hakuna siri, huyo makonda ataitwa na ataulizwa maswali yatamshinda
Amesema wakimchokoza tu anaendelea.
 
i
Yupo mtu mkubwa sana anaendelea kuzi-"violate" kila siku, nasi tunampongeza na kumwimbia mapambio na kumwombea.
Sioni cha ajabu mtu mwingine aki-"violate" sheria za nchi maana kwa mifano watu wanajifunza.
if you want the registrar take an action against gwajima its simple tell makonda to prove his innocence
 
makonda mwenyewe angekuwa anaonewa angefungua kesi ya defamation lakini katulia coz anajua labda kinachosemwa kina ukweli kiasi flan nyie ndomnashupaa
 
Msajili wa taasisi(The Registrar of Societies) ana wajibu wa kuchukua hatua dhidi ya taasisi ambayo imeacha kutekeleza malengo ya kusajiliwa kwake, na kujivika joho la jukwaa la kisiasa na la uchochezi. The Regisrar aforementioned must take actions against such breach of terms of registration. Kila jumapili mahubiri ni Makonda Makonda, Why? Gwajima anatakiwa kuwahubiri watu wake NENO la Mungu, siyo majina ya watu. Furthermore, the police force must take action against such offender who always preach VIOLENCE. Uchochezi ni kosa la jinai. Kuhubiri kila siku majina ya watu ni uchochezi ambao ukiachwa hivihivi utasababisha uvunjifu wa amani. Ombi:Taasisi husika zitoe stop order kwa Gwajima, asiendelee tena kuhubiri watu ndani ya kanisa na wakati wa ibada. Who is he to be allowed to continue violating the law of the Land?
9ad08de8046dd1bdf2752c6a63209c43.jpg
 
Tunataka vyeti msitupoteze mwelekeo[emoji216]
 
Ungekuwa unacheti orijino usingeandika huo upuuzi au wewe mwl wa sanaa ndio maanahufaham kazi ya asasi za kidini moja ya kazi za wachungaji ni kututahadharisha na maovu yote kama unakumbuka jana nilikwambia nina mjomba wangu ana PhDs ya utawala hana ajira nafasi yake imebanwa na Bashite hivyo basi tabia aliyoifanya Bashite sio nzuri hivyo hata asasi za kidini hazina budi kukemea kitendo hicho
 
Back
Top Bottom