uporo wa wali ndondo
JF-Expert Member
- Dec 3, 2013
- 3,454
- 2,244
Hapa vyeti tu,ndio suluhisho
comment yako inakuwa haina tofauti na mtu anayeongea huku mapande ya magimbi yapo mdomoni yamemkwama jicho limetoka hiloooo.
Hapa vyeti tu,ndio suluhisho
Duh ndio kwa mara ya kwanza kusikia Mwanasheria akishangaa.... Elimu yetu imetupumbaza badala ya kutuelimisha! hujui hata wajibu wako nadhani... Kafungue kesi uone Gwajima wakili wake ni Lissu😀😀Mimi kama mwanasheria nashangaa sana kuona Gwajima na taasisi yake haguswi na vyombo vya dola wakati yeye na taasisi yake wanavunja sheria za nchi. Hiyo taasisi ifutwe.Gwajima akamatwe. Laws must be enforced without discrimination.
MKUU kinachowasumbua wanasiasa wengi ni USHETANI WAO wanaposema viongozi wa dini wasiongelee maisha ya siasa ni kuwa HAWATAKI WASEME UKWELI MAANA MAISHA YAO YAMEJAA UONGO NA UNAFIKI SANA. FIKIRIA WANADILI NA VYETI FEKI,KUGUSHI WAKATI WAO NDIYO WAONGO WA ELIMU ZAO. WAPO KAMA MBWEA WAKIFALISAYO AMBAO AMBAO YESU ALIWAAMBIA MNAWABEBESHA WATU MIZIGO MIZITO AMBAYO HAMUWASAIDII HATA KWA VIDOLE VYENU. wamewabana wengine ila wao wasiguswe. NI MASHETANI WASIOWEZA KUWATOA MASHETANI WEZAO. Maana imeandikwa shetani atoi shetani mwezakeHivi nyinyi kwani anachokifanya Gwajima ni siasa!? Nini Maana ya siasa!!? Kwangu mimi Zile Sio siasa anafichua uovu. Huyo mnayemtetea sasa duh watanzania buana!!!
Kamwambie mchungaji wako Gwajima afufue kiroboto in public kama ataweza.Duh ndio kwa mara ya kwanza kusikia Mwanasheria akishangaa.... Elimu yetu imetupumbaza badala ya kutuelimisha! hujui hata wajibu wako nadhani... Kafungue kesi uone Gwajima wakili wake ni Lissu😀😀
Mbona Mbowe hana cheti hats cha La saba lakini hujahoji humuJF?Inaonesha unajua sana kucheza na mahakama, em mshitaki wewe Raia mwema
Injili ni kukemea uovu, Yohana mbatizaji alimkemea mfalme Herode kuwa si halali kwake kupora Mke Wa ndugu yake, yule mwanamke alichukia kweli!!! "Kama baadhi ya watu wanavyochukia bwana wao anavyokemewa", hiyo ilipelekea kifo cha Yohana, na hiyo ndio INJILILabda tuwaulize waumini wake wanapenda kipi kati ya hiki stori za koromije au injili ya bwana !
Ushaishiwa na hoja umeanza virojaKamwambie mchungaji wako Gwajima afufue kiroboto in public kama ataweza.
Mateja kwa kukosa poda lazima tumchangie Gajima , misukule na nyumbu lazima tumchangie mshengaGwajima amesema mkimchokoza tu wiki hii anaendelea na tuko wengi ambao tuko tayari kuchanga shilingi 1,000 kila mtu kwa kesi yeyote itakayo mkabili.
hata hao police wamemchoka bashiteMsajili wa taasisi(The Registrar of Societies) ana wajibu wa kuchukua hatua dhidi ya taasisi ambayo imeacha kutekeleza malengo ya kusajiliwa kwake, na kujivika joho la jukwaa la kisiasa na la uchochezi. The Regisrar aforementioned must take actions against such breach of terms of registration. Kila jumapili mahubiri ni Makonda Makonda, Why? Gwajima anatakiwa kuwahubiri watu wake NENO la Mungu, siyo majina ya watu. Furthermore, the police force must take action against such offender who always preach VIOLENCE. Uchochezi ni kosa la jinai. Kuhubiri kila siku majina ya watu ni uchochezi ambao ukiachwa hivihivi utasababisha uvunjifu wa amani. Ombi:Taasisi husika zitoe stop order kwa Gwajima, asiendelee tena kuhubiri watu ndani ya kanisa na wakati wa ibada. Who is he to be allowed to continue violating the law of the Land?
Mimi kama mwanasheria nashangaa sana kuona Gwajima na taasisi yake haguswi na vyombo vya dola wakati yeye na taasisi yake wanavunja sheria za nchi. Hiyo taasisi ifutwe.Gwajima akamatwe. Laws must be enforced without discrimination.