Wewe ziro,ndo mjinga unaemsapoti asie na chetiGwajima kawachota walio wajinga tu.
Mie namsapoti nani?Wewe ziro,ndo mjinga unaemsapoti asie na cheti
akibadilisha akianza kumsema Lowasa hutasema hayo tena kilichokufanya uyaseme hayo ni kwa sababu anaesemwa ni MakondaMsajili wa taasisi(The Registrar of Societies) ana wajibu wa kuchukua hatua dhidi ya taasisi ambayo imeacha kutekeleza malengo ya kusajiliwa kwake, na kujivika joho la jukwaa la kisiasa na la uchochezi. The Regisrar aforementioned must take actions against such breach of terms of registration. Kila jumapili mahubiri ni Makonda Makonda, Why? Gwajima anatakiwa kuwahubiri watu wake NENO la Mungu, siyo majina ya watu. Furthermore, the police force must take action against such offender who always preach VIOLENCE. Uchochezi ni kosa la jinai. Kuhubiri kila siku majina ya watu ni uchochezi ambao ukiachwa hivihivi utasababisha uvunjifu wa amani. Ombi:Taasisi husika zitoe stop order kwa Gwajima, asiendelee tena kuhubiri watu ndani ya kanisa na wakati wa ibada. Who is he to be allowed to continue violating the law of the Land?
mbona gwajima alihusishwa na unga naakaenda central wakajiridhisha akaachiwa sasa mtu kuonesha vyetu nalo ni tatizo? hakuna usiri hapa maana hakusoma shule peke yake ugumu uko wapi. Hali hii inaendelea kutilia shaka sana elimu yake.Gwajima kawachota walio wajinga tu.
Anachofanya ni majungu ya kipuuzi na ya kitoto.
Kama Makonda hataki kutuonyesha kwa nini Gwajima aliyesema anavyo vyeti vya Makonda asituonyeshe yeye?mbona gwajima alihusishwa na unga naakaenda central wakajiridhisha akaachiwa sasa mtu kuonesha vyetu nalo ni tatizo? hakuna usiri hapa maana hakusoma shule peke yake ugumu uko wapi. Hali hii inaendelea kutilia shaka sana elimu yake.
Sheria gani kavunja, kusema anamjua Paul Makonda kama Daudi, vipi akiwa anasema ukweli. Makonda approve yeye sio Daudi and halafu a sueMimi kama mwanasheria nashangaa sana kuona Gwajima na taasisi yake haguswi na vyombo vya dola wakati yeye na taasisi yake wanavunja sheria za nchi. Hiyo taasisi ifutwe.Gwajima akamatwe. Laws must be enforced without discrimination.
Yeye Gwajima si anadai ana vyeti vya Daudi Bashite hata cha form four alichozungusha amedai yeye anacho mwambieni avionyeshe.Acha kulalamika weka vyeti.
Anayetakiwa kuonesha vyeti ni yule anayetuhumiwa elimu yake ili aondoe wingu lililotanda, kuendelea kukaa kimya haisaidii zaidi anapoteza credibility kutoka kwa wa tz.Kama Makonda hataki kutuonyesha kwa nini Gwajima aliyesema anavyo vyeti vya Makonda asituonyeshe yeye?
Sawa tu!Anatafuta kuongeza waumini, ni kaona jinsi wananchi wengi wanapenda udaku na uongo.
Wajinga wanaoshindwa kujiongeza hadi wanatumia vyeti vya watu!Tena wajinga hasa
Gwajima kawachota walio wajinga tu.
Mjomba be properly informed that kuna taasisi ambazo zipo kisheria zinazohusika na masuala ya kutoe vyetu na kuhakiki vyeti. Pia kama kuna criminal element ktk suala hilo la vyeti kuna investigation machinery(police force) for that purpose. Gwajima hahusika and he is a layman in that field. Anachofanya ni majungu ya kipuuzi na ya kitoto. I have serious doubt on his maturity.
Msajili wa taasisi(The Registrar of Societies) ana wajibu wa kuchukua hatua dhidi ya taasisi ambayo imeacha kutekeleza malengo ya kusajiliwa kwake, na kujivika joho la jukwaa la kisiasa na la uchochezi. The Regisrar aforementioned must take actions against such breach of terms of registration. Kila jumapili mahubiri ni Makonda Makonda, Why? Gwajima anatakiwa kuwahubiri watu wake NENO la Mungu, siyo majina ya watu. Furthermore, the police force must take action against such offender who always preach VIOLENCE. Uchochezi ni kosa la jinai. Kuhubiri kila siku majina ya watu ni uchochezi ambao ukiachwa hivihivi utasababisha uvunjifu wa amani. Ombi:Taasisi husika zitoe stop order kwa Gwajima, asiendelee tena kuhubiri watu ndani ya kanisa na wakati wa ibada. Who is he to be allowed to continue violating the law of the Land?