Gwajima achukuliwe hatua za kisheria

Gwajima achukuliwe hatua za kisheria

Msajili wa taasisi(The Registrar of Societies) ana wajibu wa kuchukua hatua dhidi ya taasisi ambayo imeacha kutekeleza malengo ya kusajiliwa kwake, na kujivika joho la jukwaa la kisiasa na la uchochezi. The Regisrar aforementioned must take actions against such breach of terms of registration. Kila jumapili mahubiri ni Makonda Makonda, Why? Gwajima anatakiwa kuwahubiri watu wake NENO la Mungu, siyo majina ya watu. Furthermore, the police force must take action against such offender who always preach VIOLENCE. Uchochezi ni kosa la jinai. Kuhubiri kila siku majina ya watu ni uchochezi ambao ukiachwa hivihivi utasababisha uvunjifu wa amani. Ombi:Taasisi husika zitoe stop order kwa Gwajima, asiendelee tena kuhubiri watu ndani ya kanisa na wakati wa ibada. Who is he to be allowed to continue violating the law of the Land?
778ceba1a27ccc145db40ea26269bed8.jpg
 
Ukimfunga mdomo yeye,basi mawe yatainuka.Huyo jamaa anajua aliomba kazi sehemu ngapi kabla bingo ya CCM ikalia?Alikuwa na makubaliano nao kwamba vyeti vyake wasivisogeze mbele zaidi ili kuongeza uwezekano wa ajira?
 
Mjomba be properly informed that kuna taasisi ambazo zipo kisheria zinazohusika na masuala ya kutoe vyetu na kuhakiki vyeti. Pia kama kuna criminal element ktk suala hilo la vyeti kuna investigation machinery(police force) for that purpose. Gwajima hahusika and he is a layman in that field. Anachofanya ni majungu ya kipuuzi na ya kitoto. I have serious doubt on his maturity.
Kma umeliona hili basi hata swala la madawa ungeliona kua mkuu wa mkoa hayumo kwenye tume ya kupambana na madawa! Msumari hutukoea pale ulipo ingilia
 
Msajili wa taasisi(The Registrar of Societies) ana wajibu wa kuchukua hatua dhidi ya taasisi ambayo imeacha kutekeleza malengo ya kusajiliwa kwake, na kujivika joho la jukwaa la kisiasa na la uchochezi. The Regisrar aforementioned must take actions against such breach of terms of registration. Kila jumapili mahubiri ni Makonda Makonda, Why? Gwajima anatakiwa kuwahubiri watu wake NENO la Mungu, siyo majina ya watu. Furthermore, the police force must take action against such offender who always preach VIOLENCE. Uchochezi ni kosa la jinai. Kuhubiri kila siku majina ya watu ni uchochezi ambao ukiachwa hivihivi utasababisha uvunjifu wa amani. Ombi:Taasisi husika zitoe stop order kwa Gwajima, asiendelee tena kuhubiri watu ndani ya kanisa na wakati wa ibada. Who is he to be allowed to continue violating the law of the Land?
Bashite umeona kwenda kulia Madhabahuni hakutoshi,ukakimbilia South Africa kwa Sangoma pia umeona hailipi.
Sasa unataka Msaada wa Msajili.
Bashite lete Vyeti haya yote yataisha na Gwajima ataingia aibu Kuu
 
Mjomba be properly informed that kuna taasisi ambazo zipo kisheria zinazohusika na masuala ya kutoe vyetu na kuhakiki vyeti. Pia kama kuna criminal element ktk suala hilo la vyeti kuna investigation machinery(police force) for that purpose. Gwajima hahusika and he is a layman in that field. Anachofanya ni majungu ya kipuuzi na ya kitoto. I have serious doubt on his maturity.
Toa vyeti Mkuu acha Maneno
Kama unaona Gwajima anakosea Mpeleke Mahakamani
 
Msajili wa taasisi(The Registrar of Societies) ana wajibu wa kuchukua hatua dhidi ya taasisi ambayo imeacha kutekeleza malengo ya kusajiliwa kwake, na kujivika joho la jukwaa la kisiasa na la uchochezi. The Regisrar aforementioned must take actions against such breach of terms of registration. Kila jumapili mahubiri ni Makonda Makonda, Why? Gwajima anatakiwa kuwahubiri watu wake NENO la Mungu, siyo majina ya watu. Furthermore, the police force must take action against such offender who always preach VIOLENCE. Uchochezi ni kosa la jinai. Kuhubiri kila siku majina ya watu ni uchochezi ambao ukiachwa hivihivi utasababisha uvunjifu wa amani. Ombi:Taasisi husika zitoe stop order kwa Gwajima, asiendelee tena kuhubiri watu ndani ya kanisa na wakati wa ibada. Who is he to be allowed to continue violating the law of the Land?
Amechochea nini? amechochea kusema bashite ana cheti cha jina la mtu mwingine? amechochea kusema anavyo vyeti?....acheni ushamba. hivi kwa idadi ya waumini alionao gwajima, unafikiri ni rahisi kiasi hicho?
 
Achukuliwe hatua Gwajima badala ya mwenye vyeti feki kuchukuliwa hatua.
 
Msajili wa taasisi(The Registrar of Societies) ana wajibu wa kuchukua hatua dhidi ya taasisi ambayo imeacha kutekeleza malengo ya kusajiliwa kwake, na kujivika joho la jukwaa la kisiasa na la uchochezi. The Regisrar aforementioned must take actions against such breach of terms of registration. Kila jumapili mahubiri ni Makonda Makonda, Why? Gwajima anatakiwa kuwahubiri watu wake NENO la Mungu, siyo majina ya watu. Furthermore, the police force must take action against such offender who always preach VIOLENCE. Uchochezi ni kosa la jinai. Kuhubiri kila siku majina ya watu ni uchochezi ambao ukiachwa hivihivi utasababisha uvunjifu wa amani. Ombi:Taasisi husika zitoe stop order kwa Gwajima, asiendelee tena kuhubiri watu ndani ya kanisa na wakati wa ibada. Who is he to be allowed to continue violating the law of the Land?
taasisi za kidini zipo kwa ajii ya jamaa kukemea ,kuonya unaleta hoja hapa kuwa taasisi hizi zisikemee maovu yanayofanyika ndani ya jamii ina maanisha kuwa utakuja na wazo la kuanzisha taasisi ,ambazo zitafumbia macho maovu yanayofanyika .kimsingi hiki ulichoandika pia ni uovu dhidi ya taasisi za kidini ,naamuru waendeshe ibada maalumu dhidi ya matendo yako haya .
 
Mwambie aweke vyeti basi na Gwajima atakaa kimya

Ila jamani tuache kuulizia vyeti hana kabisa
 
Mjomba be properly informed that kuna taasisi ambazo zipo kisheria zinazohusika na masuala ya kutoe vyetu na kuhakiki vyeti. Pia kama kuna criminal element ktk suala hilo la vyeti kuna investigation machinery(police force) for that purpose. Gwajima hahusika and he is a layman in that field. Anachofanya ni majungu ya kipuuzi na ya kitoto. I have serious doubt on his maturity.
Hata kwenye masuala ya madawa ya kulevya zipo Taasisi ambazo hushughulikia mambo hayo. RC ni layman kwenye field hiyo. Kwa hivyo basi yeye ndo alianzisha majungu ya kipuuzi na ya kitoto ambayo sasa yanamtafuna.
 
MNAMCHOKOZA WENYEWEEEE..kashasema kafunga mjadala mpaka achokozwe amuingize bashite kwenye ile mashine yake ya kusaga na mnaona bashite kanyamaza kimyaa,mtaponza maana mlishaambiwa mkirusha one punch yeye anapiga double manifestation
 
Gwajima amesema mkimchokoza tu wiki hii anaendelea na tuko wengi ambao tuko tayari kuchanga shilingi 1,000 kila mtu kwa kesi yeyote itakayo mkabili.
Mkuu hata wewe na akili zako zote hizo?
Gwajima aliwaahidi kutoa cheti cha Makonda kipo wapi?
Gwajima aliwaahidi kuleta wazee kutoka kijijini kuthibitisha Makonda ni Bashite,wapo wapi
Akili za kuambiwa changanya na zako
 
Uchokozi UPI? Uvunjifu upi wa amani? Au ndo mambo ya mtenda na mtendwa wao Mbona wamemtaja hadharani bila ushahidi, km anasema uongo mda mrefu angeshakamatwa,pia siasa na maisha huwezi vi tenganisha, afanyacho ni kujisafisha baada ya kuchafuliwa ili watu wajue ukweli na nn ni chanzo cha yeye kuonewa wivu.
 
Back
Top Bottom