Gwajima achukuliwe hatua za kisheria

Gwajima achukuliwe hatua za kisheria

Msajili wa taasisi(The Registrar of Societies) ana wajibu wa kuchukua hatua dhidi ya taasisi ambayo imeacha kutekeleza malengo ya kusajiliwa kwake, na kujivika joho la jukwaa la kisiasa na la uchochezi. The Regisrar aforementioned must take actions against such breach of terms of registration. Kila jumapili mahubiri ni Makonda Makonda, Why? Gwajima anatakiwa kuwahubiri watu wake NENO la Mungu, siyo majina ya watu. Furthermore, the police force must take action against such offender who always preach VIOLENCE. Uchochezi ni kosa la jinai. Kuhubiri kila siku majina ya watu ni uchochezi ambao ukiachwa hivihivi utasababisha uvunjifu wa amani. Ombi:Taasisi husika zitoe stop order kwa Gwajima, asiendelee tena kuhubiri watu ndani ya kanisa na wakati wa ibada. Who is he to be allowed to continue violating the law of the Land?
Gwajima uchochezi?? Mbona mahakama inashindwa kutoa tafsiri ya kisheria kwa kesi ya mbowe kuhusu mamlaka ya mkuu wa mkoa?? Mmezoea vya kunyonga, hapa kwa Gwajima mmeingia choo cha kike. NA BADO WAPUUZI NYIE MNAO MSAPOTI DAUDI BASHITE
 
Kama kakutuma kuleta ujinga wako hapa mwambie umefeli, mwambie alete vyeti
 
Msajili wa taasisi(The Registrar of Societies) ana wajibu wa kuchukua hatua dhidi ya taasisi ambayo imeacha kutekeleza malengo ya kusajiliwa kwake, na kujivika joho la jukwaa la kisiasa na la uchochezi. The Regisrar aforementioned must take actions against such breach of terms of registration. Kila jumapili mahubiri ni Makonda Makonda, Why? Gwajima anatakiwa kuwahubiri watu wake NENO la Mungu, siyo majina ya watu. Furthermore, the police force must take action against such offender who always preach VIOLENCE. Uchochezi ni kosa la jinai. Kuhubiri kila siku majina ya watu ni uchochezi ambao ukiachwa hivihivi utasababisha uvunjifu wa amani. Ombi:Taasisi husika zitoe stop order kwa Gwajima, asiendelee tena kuhubiri watu ndani ya kanisa na wakati wa ibada. Who is he to be allowed to continue violating the law of the Land?
Nikichokozwa mara 1 napiga mara 10 - Baba Askofu Dr Gwajima .
 
Mjomba be properly informed that kuna taasisi ambazo zipo kisheria zinazohusika na masuala ya kutoe vyetu na kuhakiki vyeti. Pia kama kuna criminal element ktk suala hilo la vyeti kuna investigation machinery(police force) for that purpose. Gwajima hahusika and he is a layman in that field. Anachofanya ni majungu ya kipuuzi na ya kitoto. I have serious doubt on his maturity.
Mkuu usijitoe ufahamu mshauri Makonda amkamate Gwajima amuweke ndani kwa kosa la kumchafua jina lake,Mbona kipindi cha madawa ya kulevya alimtia ndani?Huu mziki kwa Makonda mzito jamaa atakuja na Evidence,

Makonda siyo mjinga yeye ni mkuu wa mkoa,Hiyo Registral office na police wakimpeleka mahakamani Gwajima na akathibitisha kuwa mheshimiwa vyeti siyo vyake unafikiri kinachofuata ni nini?Mkuu hili suala atalimaliza iwapo tu makonda akimpeleka Gwajima mahakamani na kudai fidia kwa kumdhalilisha.

Na isitoshe makonda akiona Gwajima ni kero amhamishe kwenye mkoa wake kama alivyowahi kusema hapo nyuma kwa sababu alisema huo uwezo anao.
 
Msajili wa taasisi(The Registrar of Societies) ana wajibu wa kuchukua hatua dhidi ya taasisi ambayo imeacha kutekeleza malengo ya kusajiliwa kwake, na kujivika joho la jukwaa la kisiasa na la uchochezi. The Regisrar aforementioned must take actions against such breach of terms of registration. Kila jumapili mahubiri ni Makonda Makonda, Why? Gwajima anatakiwa kuwahubiri watu wake NENO la Mungu, siyo majina ya watu. Furthermore, the police force must take action against such offender who always preach VIOLENCE. Uchochezi ni kosa la jinai. Kuhubiri kila siku majina ya watu ni uchochezi ambao ukiachwa hivihivi utasababisha uvunjifu wa amani. Ombi:Taasisi husika zitoe stop order kwa Gwajima, asiendelee tena kuhubiri watu ndani ya kanisa na wakati wa ibada. Who is he to be allowed to continue violating the law of the Land?
Inaonesha unajua sana kucheza na mahakama, em mshitaki wewe Raia mwema
 
Fafanua vizuri upuuzi ni kuwabambikia kesi au ni wale wanaojitetea baada ya kudhalilishwa na makonda?
Kumshutumu mtu sio kosa kisheria.vipi katika walioshutumiwa hakuna aliyepatikana na hatia?
Tuanzie hapo kwanza
 
Mjomba be properly informed that kuna taasisi ambazo zipo kisheria zinazohusika na masuala ya kutoe vyetu na kuhakiki vyeti. Pia kama kuna criminal element ktk suala hilo la vyeti kuna investigation machinery(police force) for that purpose. Gwajima hahusika and he is a layman in that field. Anachofanya ni majungu ya kipuuzi na ya kitoto. I have serious doubt on his maturity.
Atoe vyeti!
 
Siyo watu wote hushitakiwa kwa jinai. Jamhuri yaweza kutokuwa na nia ya kufungua mashitaka hata kama kitendo na nia ovu ya mtuhumiwa vinatosha kuthibitisha kosa.
Hata hivyo, haya ni maoni ya jumla na siyo specific kwa kwa issue ya Makonda.
 
Mngekuwa mnatetea na vyeti mnatoa ningewaona watu wa maana sana,lakini kila siku mnauza maneno tu,halafu mhusika amekaa kimya tu,nyinyi ndo mnaumia na kujibu,mwambieni bashite aje hapa mbele atuambie vyeti vyake halisi na shule alizosoma,lakini maswala yenu ya kutetea ujinga hapa hayapo,au nyinyi mnapata faida gani kwa kutetea huko?? watanzania badilikeni tofauti za kivyama wekeni pembeni tunataka watu waje na point za maana pakiwa na ushahidi wa vyeti tu. Kwani yeye alipokuwa anawaambia kuwa watu wanauza madawa nyinyi mnaotetea ushahidi mliupata wapi,mliwaona wanauza? Mliwakamata na wakatoa ushahidi na wengine wakaachiwa, sasa iweje yeye aogope kutoa ushahidi?? halafu mnakuja na point zenu dhaifu za kutetea mambo ya ajabu ajabu tu, daudi bashite tunaomba vyeti vyako tu ndiyo pona yako.
 
Msajili wa taasisi(The Registrar of Societies) ana wajibu wa kuchukua hatua dhidi ya taasisi ambayo imeacha kutekeleza malengo ya kusajiliwa kwake, na kujivika joho la jukwaa la kisiasa na la uchochezi. The Regisrar aforementioned must take actions against such breach of terms of registration. Kila jumapili mahubiri ni Makonda Makonda, Why? Gwajima anatakiwa kuwahubiri watu wake NENO la Mungu, siyo majina ya watu. Furthermore, the police force must take action against such offender who always preach VIOLENCE. Uchochezi ni kosa la jinai. Kuhubiri kila siku majina ya watu ni uchochezi ambao ukiachwa hivihivi utasababisha uvunjifu wa amani. Ombi:Taasisi husika zitoe stop order kwa Gwajima, asiendelee tena kuhubiri watu ndani ya kanisa na wakati wa ibada. Who is he to be allowed to continue violating the law of the Land?
Kwani yeye alivyokuwa anaita waandishi wa habari na kuwataja watu hadharani alikuwa havunji sheria?
 
Gwajima anajua anongea na wapumbavu ndio maana utaona wanamshangilia na mavuvuzela!

Kingine ni kwamba selikali za kiafrika ndio huwa zinapenda kuona wananchi wamezama kwenye mijadala ya kipumbavu isiyo natija kwa taifa kama hii, maana wanajua mda wa kujadili madudu yai unakuwa haupo!
 
Back
Top Bottom