Guys, is this real?

hayo ni mawazo yako tu...unajua ni afrika pekee watu huwa tunatumia muda mwingi kujipikilisha kuliko sehemu...nyingine yoyote
 
Fatma Hana uchungu nazo Mana nahisi Ni mother house wale watu wa kuletewa
.Jessica I think anashiriki katika mchakato wa kupata noti hivyo ana displine na Pesa

Sasa hayo mavyakula yote so ufujaji wa hela au ndo uwaifu material ,Kama huo ndo uwaifu material Basi niondoeni

Kila kitu lazima kiwe na kiasi ,uwezi Pika mavyakula yote hayo kwenye familia ya watu watatu kabisa utakuwa ujielewi

Nitagieni yule kijana anaelalamikia mchumba mfujaji
Fatuma hata umpe chakula kidogo anakipika kwa ladha nzuri.
Sisi tunaangalia ujuaji ufundi wa kupika hatuangalii wingi.
Jessica pamoja na kubajeti kwake hajui kupika.
 
I don't wanna put more words. Just take a look at the picture and give your comments as far as Tanzanian context is concerned. Naonaga picture ukioa Haika wa Marangu...na ukioa Mwantumu wa Tanga jiandae kupata ladha tofauti jikoni.

Disclaimer: Sipondei wachaga wala wakaazi wa mkoa wa K'njaro wala sina upendeleo na Tanga. Ni mifano hai tu ili tuelewane.

Samahani atakayekwazika.View attachment 1179424
Marry Fatima, and I guarantee you withing 5 years you will be treating Diabetes and High Blood Pressure
 
hayo ni mawazo yako tu...unajua ni afrika pekee watu huwa tunatumia muda mwingi kujipikilisha kuliko sehemu...nyingine yoyote
It's our culture. Hata waarab na Wahindi wanapika sana tu ati Afrika pekee. Na south Africans mbona hawapendi kupika?
 
Mi mbka leo bado najifunza kupika mapishi ni mengi..ila vitu common najuaa
Sahihi kabisa, upishi ni somo pana sana huwezi kujihakikishia moja kwa moja kwamba unajua kipika, kuna kipindi nilikaa na mshikaji anapenda sana kupika japo mpaka aamue daah yule jamaa hafai ni anapika kuna siku nilishangaa anatumia cocacola kama kiungo nikaelewa upishi na Ladha ni ishu pana
 
Sahihi kabisa, upishi ni somo pana sana huwezi kujihakikishia moja kwa moja kwamba unajua kipika, kuna kipindi nilikaa na mshikaji anapenda sana kupika japo mpaka aamue daah yule jamaa hafai ni anapika kuna siku nilishangaa anatumia cocacola kama kiungo nikaelewa upishi na Ladha ni ishu pana
dah ndo ivo.
 
We nae usihamie kabisa huko Tanga??? Mtuache Wachagga na the so called "mapungufu" yetu!!!!!
Hamna mapungufu Lizzy. Ni matani yetu tu ya kikabila kama ilivyo kawaida yetu Watanzania. Nyerere alitulea hivyo - kutaniana, kucheka pamoja na kupendana
73300eeccfbe6c3ea89d9dfd317d221e~2.jpeg
 
Weeee kuna vidada HAVIJUI KUPIKA KABISAAAAA.yaani kama unapenda kula kama mimi aisee umeingia cha kike.
Huyo si mdada. Anakula nini? Hata kama kazaliwa maternity ward bado kuna siku aliwahi tamani kula anachokipenda. Je, alikinunua wapi? Msomeshe hadi akuelewe
 

Similar Discussions

2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom