Kaka that is really.I don't wanna put more words. Just take a look at the picture and give your comments as far as Tanzanian context is concerned. Naonaga picture ukioa Haika wa Marangu...na ukioa Mwantumu wa Tanga jiandae kupata ladha tofauti jikoni.
Disclaimer: Sipondei wachaga wala wakaazi wa mkoa wa K'njaro wala sina upendeleo na Tanga. Ni mifano hai tu ili tuelewane.
Samahani atakayekwazika.View attachment 1179424
Yeah kaka nitaoa kule nahisi mke wa pili nikijaaliwa.Hadi wewe Ustadh? Ila siyo mbaya mbona simple tu kaoe tanga mkuu usifanye mambo kuwa complicated!
Wengi wao wapo hivyo mkuu,wabishi hawaambiliki hasa hao wa kanda kaskazini kunako mlima mrefu barani Afrika..Mkuu unaruhusiwa kumfundisha mke wako namna nzuri ya kuandaa chakula unachokipenda...
Ishu inakuja labda kama ni mbishi hataki kujifunza..
Marrying Jessica ndio mpango hvyo Marrying Fatima ni kujipandisha BP
Team Jessica hapa
Jessica ndio mke sasa.
Weeee kuna vidada HAVIJUI KUPIKA KABISAAAAA.yaani kama unapenda kula kama mimi aisee umeingia cha kike.Mkuu, Mfuko wako ndo utakupa unachokitaka. Hata nyama ya mtu utaipikiwa, ya ng'ombe utasagiwa na ya mbwa utarostiwa. Mfuko wako ndo ruksa yako si kabila. Hivyo vyakula vyote hununuliwa sokoni
Na kuwa na mwanamke anayejua kupika bila kutafuta jela nalo mi janga kubwa. Apewa hadi hela ya chupi.Mwanamke mwenye miaka 18 asiyejua kupika ni ngumu kujifunza
Jela ama helaNa kuwa na mwanamke anayejua kupika bila kutafuta jela nalo mi janga kubwa. Apewa hadi hela ya chupi.
Inaonesha kuwa jessica ameandaa a healthy food wakati fatima amekuandalia mazingura ya mgandamizo mkubwa wa damu na kisukari.....
Sawa ila mimi sioni umuhimu wa yote hayo, cha msingi chakula kiive na heshima iwepo hizo nyingine mbwembwe tu.Yeah kaka nitaoa kule nahisi mke wa pili nikijaaliwa.
Maana wana mapenzi mubashara maji ya kuoga wachemshiwa na iriki na karafuu ili unukie we umeshaona wapi haya kwa Wachaga ??
Chai wachemshiwa na mchai chai ,mdalasini,karafuu ukinywa ni rrahaa.
Viungo vitamu vya mapishi vyote asili yake mwambao wa pwani ww mwenyewe hubishi kaka.
Hapo sasa ni tatizo kiukweliWengi wao wapo hivyo mkuu,wabishi hawaambiliki hasa hao wa kanda kaskazini kunako mlima mrefu barani Afrika..